Mnapambanaje na hii changamoto katika mapenzi?

Huo ni ulimbukeni utaisha tu
 
Umeusemea moyo wangu, nilidhani nipo mwenyewe na mtoto wa watu ananipenda sana, ila mara zote namshinda shetani , nilichoamua ni kuwa na mchepuko wangu wa kupotezea mawazo hayo yakija
 
Shida kubwa unachokiwaza ni maumbile ya k na asili ya kubeba taka kwahiyo wewe huwaza kama hao jamaa wamekuachia dastbini ndio maumivu unayahisi
 
We acha tu wanao kejeli hayajawakuta hayo,kungekuwa na dawa ya laki kadhaa ningenunua nijitibu hili gonjwa,ni shida
 
Shida kubwa unachokiwaza ni maumbile ya k na asili ya kubeba taka kwahiyo wewe huwaza kama hao jamaa wamekuachia dastbini ndio maumivu unayahisi
Halafu nasahau kabisa kwamba wapo ambao namimi niliwaachia uchafu
 
Heee gubu limekujaje tena?au nawewe unao ma Ex wawili mtaani kwako!
Kwan kuishi na ex mtaani maana yake bado unatembea nao? Tafuta bikra uwe naye lakin sio kumnyima amani dada wa watu.
 
Ungekuwa wewe ingekuwa rahisi sana,unaonekana unaachika kirahisi sana,yeye hataki na huwa na muelewa Sana ila tatizo moyo haukomi kuumia
 
Kwahiyo unaona raha kumfanyia hivyo binti wa watu?
 
Sioni raha hata kidogo na nampenda Sana ndio maana hiyo hali inajitokeza,mwanzoni kabla sijazama penzini nilkuwa naona poa tu sikuwahi kuumia,ila kadri siku zilivyosonga mbele nikajikuta nina wivu kupita kiasi,nimekuja kwenu mnisaidie nifanyeje ili hii hali itoweke,tuishi Kama zamani ,nisiwe na wivu hata chembe
 
Unamaanisha kuna masela walikuwa wanampiga mashine kabla yako na mnaishi nao kitaa? Siku akimiss mashine zao uje utusimulie.
 
Kama wa kwako anakwambia akimiss mashine zao naamini hata wangu ataniambia,akiniambia nitakuja kuwasimulia usijali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukichunguza sana bata umli.

Weee jilie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…