tryphone005
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 453
- 507
Kwani kuna mafao ukiamua kuacha kazi mkuu,Kwan kuacha kazi unaanzia wapi
Watu wangejipanga kuchukua mamilioni yao wakajiongeze mbele kwa mbele huko!
Kwani kuna mafao ukiamua kuacha kazi mkuu,Kwan kuacha kazi unaanzia wapi
Roho yako nyeusi kama ngozi yako!!Acha tukose wote maana 98% ya waliokuwa wanalipwa posho hizo ni wakuu wa Idara, eti mabosi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza wameenda Shinyanga kwenye vikao vya bajeti wakati shuleni hakuna chaki! Wanachaguana kila mtu anaenda na mchepuko wake......***** hadi mjifunze kuuza visheti na barafu kama sisi masuruali yatakuwa yameishadondoka! Go go go go go go Magu!
Umesema kweli mkuu japo mm siyo mtumishi was ummaHuduma mtapata Ila Huduma bora msahau!
Msingi mmoja Wapo wa Semina ni 'Capacity building' na zikiondolewa maana yake Watu wafanye kazi kwa Mazoea
Unabadilisha Mitaala Shuleni halafu hupeleki Walimu Semina kujifunza huo mtaala upya unategemea nini?
Unabadilisha Sheria za Manunuzi halafu hutaki zifanyike Semina za kuwafunda Maafisa Manunuzi unategemea nn?
Walioanzisha Semina na Workshop hawakuwa vichaa walikuwa na sababu za Msingi , cha Msingi ni kuzidhibiti zile zisizo na Tija
Wakati wa posho walitoa huduma bora? ...au walikuwa bize kutafuta sababu za kula posho ?Huduma mtapata Ila Huduma bora msahau!
Msingi mmoja Wapo wa Semina ni 'Capacity building' na zikiondolewa maana yake Watu wafanye kazi kwa Mazoea
Unabadilisha Mitaala Shuleni halafu hupeleki Walimu Semina kujifunza huo mtaala upya unategemea nini?
Unabadilisha Sheria za Manunuzi halafu hutaki zifanyike Semina za kuwafunda Maafisa Manunuzi unategemea nn?
Walioanzisha Semina na Workshop hawakuwa vichaa walikuwa na sababu za Msingi , cha Msingi ni kuzidhibiti zile zisizo na Tija
Amekaa serikalini miaka 20 kwa hiyo wenzake wakaibeJPM Kibaha:Hatutafuti Pesa kwa ajili ya posho au semina kama hamkuzipata miaka mingine imekula kwenu.Huu ni muda wa kufanya kazi
Haijulikani hata unaongea ugoro wa wapi,naona tu machizi wenzako wanagonga like mfyuuuuuuuu.Gambe haijawahi kumuacha mtu salama.
Lawama zote kwa baba fulani kwa kutuletea gambe za Kienyeji.
Umeburuzwa na nani,? Kma umeona haikulipi acha wenzako wapo watafanya,mtapa shida sana bado miaka nane ndo ngoma mbichiiiii kama ya mtoto vile!Mimi kazi acheni kabisa, vinginevyo mtapatwa na mshtuko wa moyo Kwa kuburuzwa kufanya kazi kwa lazima
Haha apa kazi tu mlizoe madili nyambafuuuHuyo jamaa ana roho mbaya tu mkuu..wala usihangaike nae ndugu...we fanya yako tu...