Mnaowaza Posho serikalini Kwishney

Mnaowaza Posho serikalini Kwishney

Acha tukose wote maana 98% ya waliokuwa wanalipwa posho hizo ni wakuu wa Idara, eti mabosi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza wameenda Shinyanga kwenye vikao vya bajeti wakati shuleni hakuna chaki! Wanachaguana kila mtu anaenda na mchepuko wake......***** hadi mjifunze kuuza visheti na barafu kama sisi masuruali yatakuwa yameishadondoka! Go go go go go go Magu!
Sasa Wewe Mhudumu wa Ofisi uende kwny Kikao cha Bajeti kufanya nini? Kama ni kazi ya kusafisha Vyoo kule Hotelini Wapo Wahudumu wa kutosha
 
Sasa Wewe Mhudumu wa Ofisi uende kwny Kikao cha Bajeti kufanya nini? Kama ni kazi ya kusafisha Vyoo kule Hotelini Wapo Wahudumu wa kutosha
Sasa wewe afisa utumishi mwandamizi kama ni vikao vya bajeti fanyieni hapa hapa jirani, kuna sababu gani ya kwenda mbali ili kutengeneza mazingira ya kulipwa posho kubwa kwa kisingizio cha kuwa mbali na nyumbani? Sasa ndio hivyo posho za bure hakuna njoo nikufundishe jinsi ya kupiga pesa nje ya mshahara!
 
Kama yuko siriaz aanze na wabunge
 
Takataka zingine huwaga hazina akili na maarifa ya uongozi!!
 
Sasa wewe afisa utumishi mwandamizi kama ni vikao vya bajeti fanyieni hapa hapa jirani, kuna sababu gani ya kwenda mbali ili kutengeneza mazingira ya kulipwa posho kubwa kwa kisingizio cha kuwa mbali na nyumbani? Sasa ndio hivyo posho za bure hakuna njoo nikufundishe jinsi ya kupiga pesa nje ya mshahara!
Mie si Muajiriwa Wafundishe TGS wenzako
 
heeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
19247945_478231325858222_2097588032469676279_n.jpg
 
Back
Top Bottom