Mnaotarajia kuandamana someni hii...

Mnaotarajia kuandamana someni hii...

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
1,389
Reaction score
1,065
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.

Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka.

Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara.

Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.

Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako.

Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo.

Je, hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi?

Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
 
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio. Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka. Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara. Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako. Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo. Je hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi????

Toka apa
 
Huwezi kumpangia mtu maisha yake na huwezi kupanga utakufaje, nikuulize hivi walioko vitandani Muhimbili wengine Apolo waliandamana?
 
Kwenda huko.
 
Hayo yatakuwa maandamano ya amani ili serekali iweze kuambiwa ukweli wake. ukiona serekali haitaki hayo maandamano ni dhahiri inakwepa kusikia ukweli mchungu hivyo inakwepa kuwajibika.
 
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio. Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka. Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara. Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako. Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo. Je hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi????
Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..

wewe ni kati ya wale mamnilula haswa..................... mtu mmoja hawezi kupeleksha watu milion52 na ushee lazima aambiwe na aambilike
 
Unajua maana ya maandamano?
 
1.Rais ni mwongo maana aliongea tarehe 14/10/2017 kuwa kuna Watumishi wa Umma 59,000+ watapandishwa madaraja mwezi Novemba lakini hadi sasa hajapanda hata mmoja.

2.Rais alisema baada ya uhakiki kumalizika kutakuwa na maslahi bora kwa Watumishi wa Umma lakini hadi sasa wamepewa za uso.

Waandishi wa habari hizi hazifai kupamba kwenye front page maana sijawahi kuziona.

Kutoka hifadhi ya misitu ya Madihani
Mwanachama wa CCM.
 
Usit
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio. Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka. Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara. Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako. Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo. Je hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi????
Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
usituogopeshe mkuu, kwa sasa hamna vita Ila ajira Hamna, dawa za kawaida mahospitalini Hamna, watumishi wa umma wana nyanyasika, mifuko ya hifadhi ya jamii inatapeli mafao, barabara nyingi mbovu, pesa za kodi zinatumika kwenye matumizi yasiyo kipaumbele cha wananchi. Ee bwana acha tukiwashe,labda viongozi watatofautisha kuongoza na kutawala
 
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio. Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka. Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara. Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako. Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo. Je hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi????
Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
Maandamano ni muhimu kwa ukombozi, acha kuwakatisha watu tamaa zuzu wewe, tambua kuwa, in the earth iniquity should prevail, Yesu pia alisema masikini mtakuwa nao siku zote, nawashangaa mnaopigania wengine kuwa waondokane na umasikini, wengine hali zao hujichagulia ziwe hivyo, basi wakati wa maandamano wewe kaa ndani waache watakaoandamana wafanye yao, kuna wengine they love death kuliko life, sio wote wanapenda ustaarabu, ndo pia kuna watu wanapenda washike bunduki waende vitani wakati wengine wanapumzika, wengine wamechagua kuwatumikia wakubwa wengine wanapenda kutumikiwa, ndo maana pia serikali jeuri zote hutegemea askari au jeshi lake, bila hivyo pasingekuwa na kuamrishana, lawless land. waache wanaokusanyana wakusanyane sisi tunatulia tuli kusubiri ukombozi.
 
Cha ajabu kila neno maandamano likitajwa- watu tayari wanaona kuna kuuana kwa hiyo watu wasifanye maandamano. Cha ajabu zaidi na zaidi katiba ya JMT inatambua maandamano tena yanatakiwa yalindwe. Ikiwa ni hivyo mambo ya kuuana, wakimbizi na kadhalika yanatoka wapi? Inaelekea kuna watu wako tayari kumwaga damu ili kuzuia maandamano kana kwamba maandamano ni vurugu-tunaficha nini? Huku kutushana kunatoka wapi.
 
Back
Top Bottom