Mnaotamani kuoa mwanamke wa Kikenya mje mjionee

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Hilarious!!. Jamaa anachezea kichapo Live hadharani toka kwa mwanamke aliyezaa naye.:becky:
 
Last edited by a moderator:
Kwanini mkeo akuchape? Umeoa baunsa? Haaa! Mke wangu mimi mwenyewe aaaah, sijui huko kwa Uhuruto
 
sasa inamaanisha mwanamke mmoja akichapa mmewe ni wanawake wote wakenya wana tabia iyo.Basi pia mimi ntasema wanawake wote watz wana ndevu maanake nimeona wengi wanazo.
 
Mwanamke atakuchapaje mwanaume rabda uwe mrevi haiwez kutoka kwangu yeye ndo nitampa kichapo
 
Wa Tanzanians mnapenda kujihugulisha sana na mambo ya Kenya. Jipeni shughuli. Btw kama TV ni Tsh. 500,000, gari ni Tsh. 10 billion?

Imarisheni uchumi kwanza kabla ya kupayuka.
Uko nje ya mada kaka..
Uchumi inauhusiano gani na kichapo mnachopewa wanaume wa kenya na wake zenu? Mje uku tuwafundishe jinsi ya kukabiliana na wanawake huko...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom