Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

Hii ina maana hata Zitto asipotimuliwa kweli huo mtihani ata u pass? ha ha ha just wondering.
 

Yale yale ya Mgonja na Elinewinga waliokuwa wakisomesha watoto wao. Mimi nilisoma mpaka na Wapare shule za usukumani wamesambazwa ili kujaza nafasi za Wasukumua wasisome. Matokeo yake: Pita maofisini sasa hivi Wasukuma wa mwisho kuingia huko ni akina Marcel Komanya na Wiliam Shija. Baada ya hapo watoto wa wasukuma walikuwa mazezeta wasioweza kufaulu, kisa Mchaga ameingia biashara ya kupika na kuuza chakula, huku strategy yake ikiwa ni kuwalisha sumu holela waTz wasione wanachokitafuta maishani.Unawasifu "my ass".
 

Dr slaa na gongo lote hilo kichwani lilomtawala ataweza kusahihisha mitihani?
 
Last edited by a moderator:
Ninampango wa kugombea ubunge jimbo la mufindi kaskazini.kwa sasa yupo mahamud mgimwa ila najua kama sifa ninazo za kutosha za kuwaongoza wanamufindi yamkini mapato ya mazao ya misitu na viwanda vya chai,pareto na karatasi yatawanufaisha wana mufindi.
 
Du ubunifu huu ni nouma, afande sele atafaulu kweli?
Mbona katibu naye ni kapi kutoka CCM? Sasa chama ndio kinakuwa cha kifamilia zaidi.
 
Siamini kama hilo litakuwa suruhisho otherwise majimbo mengi yatarudi CCM. Mtu anaweza kuwa mzuri kwa kufaulu mtihani lakini asiwe chaguo la wananchi. Chadema tusifanye majaribio kwenye kipindi muhimu kama hicho kama kuna haja ya kuwatambua watu makini kipindi chenyewe ni sasa ambapo intelijensia ya chama inastahili kuanza kutafuta vichwa vikali vya kusimamisha 2015. Tukicheza na kuanza mbwembwe na majaribio 2015 kukamata dola tusahahu kabisa.
 
CDM my education is form four finished year 1988 and I get division 3, iam very genious.
I love CDM since it was established, please I want TEmeke because i was born there (Tandika mabatini)
I knows this district very well and body can play with in Temeke even Mtemvu he can not play with me.
Iam very famous in Temeke.

Thanks very much sir

Amani Mzeru Pilipili kichaa:A S 13:
 
Natamani sana CHADEMA ipite na kufanya mikutano ya kuelimisha wananchi jimbo la BUKENE,tunateseka,mbunge hajawahi onekana toka uchaguzi,jaman njoeni muokoe wananchi wanaoangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…