Ukisikia wivu ndio huu. Mtu alinyimwa yeye, anaanza uchochezi na wenzake tukose. Mi ukininyima naku-unfollow Insta, Twitter, na #WCW utaisikia tu hewani. JF kwenyewe naku-ignore, na likes hupati.