Mnaotaka kuolewa msionjeshe

Mnaotaka kuolewa msionjeshe

Sasa wasipo onjesha michepuko itaplay part iliyobak....
Theni michepuko ikifanya vema inachukua namba ya kudumu....


Kidumu chama cha michepukoo
 
Hiyo hakuna formula spesheli aisee! unaweza ukakifichaficha ukadoda nacho na anayegawa akaolewa na tarumbeta utamchezea.

Bora wewe unalitambua hilo...mapenz ya kunyimana mchezo ni ya enzi za nyerere...
 
Kumekuwa na vilio kutoka kwa mabinti kuwa hawaolewi sasa babu yenu nimewasikiliza sana na kuwaonea huruma. ...dawa ya kupata ndoa Usionjeshee.
hongera kwa kuhudhuria ibada mkuu
kumbe ulielewa somo huo ndio ukweli.
 
Hiyo hakuna formula spesheli aisee! unaweza ukakifichaficha ukadoda nacho na anayegawa akaolewa na tarumbeta utamchezea.
Huo ni ukweli, kuna hadi walio na mtoto wa nje na wana olewa. Kuolewa ni bahati sometimes
 
Back
Top Bottom