Mnaotaka kujifunza coding hii inawahusu

Mnaotaka kujifunza coding hii inawahusu

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,303
Reaction score
6,123
Hello bosses.

Nimepokea maombi ya watu mbalimbali wanaotaka kujifunza coding na nikaamua kutengeneza community site pamoja na forum special kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza coding au kujiboresha zaidi kwenye coding.

1)Kuna kozi mbalimbali, kwa sasa tumeanza na kozi chache lkn kila baada ya siku chache kozi zitakua zinaongezwa na kuboreshwa

2)Tunatumia kiswahili kilichochanganyikana na kiingereza kidogo ili kurahisisha uelewa wa concepts mbalimbali kwenye coding

3)Kuna forum ambamo member anaweza kuuliza swali na kujibiwa kwa usahihi kutoka kwa experts wa language au technology husika

4)Community hii ina lengo la kuwaweka pamoja wadau wote wa coding bila kujali umri wao ili wajifunze na pia kufahamishana opportunities mbalimbali zilizopo katika hii field ya coding

5)Kuna whatsapp group ambapo updates zote za kozi tunazotoa na pia opportunities mbalimbali zitakua zinapostiwa humo, jiunge hapa na hilo group Invitation à un groupe WhatsApp

6)Community hii pamoja na kozi imetengenezwa kwa kuwawekea beginners kipaumbele, hivyo kama ww unataka kujifunza coding kiuhakika zaidi basi hii nfasi sio ya kukosa.

7)Pia mimi nitakuwa live kwenye group kila siku za weekend (jmosi na jpili) kuanzia saa moja hadi saa nne usiku ili kuwasaidia beginners wanaopata challenges mbalimbali. Pia members wataweza kutuma kazi zao na zikafanyiwa marekebisho pamoja na kupewa ushauri.

MUHIMU:
1)Kwa kuwa na sisi tuna kazi zetu lakini tumeamua tu kusaidia kufundisha coding, kila learner itabidi alipie angalau hela ya vocha, maelezo ya kulipia utayakuta kwenye website yetu baada ya kujiunga(5000Tsh) website inapatikana hapa tech255.com

2)Kama wewe utaona hio amount ni kubwa sana kwako basi waachie wengine watakaoona umuhimu wa hio huduma na hakuna haja ya wewe kuwa negative

3)Kama na wewe ungependa kufundisha kwenye hio site naomba unitumie email kupitia support@tech255.com

Jiunge sasa tech255.com

WAHITAJI KARIBUNI, KAMA WEWE SIO MHITAJI WA HII HUDUMA TUNAOMBA UWAACHIE WENYE UHITAJI. ASANTE
Screenshot_2019-12-19 Tech255 Learn coding in a simple way.png
 
Safi chief gud Sanaa
Watu wengi wanapenda kujifunza code ila hawana pakuanzia na ni vigumu sana kujifunza kwa kutumia resources za wenzetu kama huna background knowledge ya Computer science

I think hii itakua site Bora zaidi kwa wale beginners waoanza programming na hawajui waanze vipi

Nilijaribu kuanzisha uzi hapa kuhusu web development ila bahati mbaya mods wakaupeleka jukwaa la matangazo sijui wametumia logic ipi

Na support wazo lako chief...Leo nilitaka kutoa lecture ya CSS,ila nitaipigia robo nyingine yote itaashia huko

Nakutumia email yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunaomba maelezo kidogo, mimi binafsi sijui coding ni kitu gani labda tuanzie hapo.
 
Safi chief gud Sanaa
Watu wengi wanapenda kujifunza code ila hawana pakuanzia na ni vigumu sana kujifunza kwa kutumia resources za wenzetu kama huna background knowledge ya Computer science

I think hii itakua site Bora zaidi kwa wale beginners waoanza programming na hawajui waanze vipi

Nilijaribu kuanzisha uzi hapa kuhusu web development ila bahati mbaya mods wakaupeleka jukwaa la matangazo sijui wametumia logic ipi

Na support wazo lako chief...Leo nilitaka kutoa lecture ya CSS,ila nitaipigia robo nyingine yote itaashia huko

Nakutumia email yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaalam mimi napenda kujua kuhusu graphics design ila sijui pa kuanzia kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom