Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,338
- 185,301
Akili yako haina akili... hahaha
😁😁😁🕺
Umejua kunishika pabaya smart !
Hapo hutumii mundende ukitumia si unaua mtu lo?????!!🤠
Akili yako haina akili... hahaha
Nikitumia hayo madude nitakuua... hehehe...😁😁😁🕺
Umejua kunishika pabaya smart !
Hapo hutumii mundende ukitumia si unaua mtu lo?????!!🤠
Uwiiiii don't dare lo utapata murder case walai😁!Nikitumia hayo madude nitakuua... hehehe...
Anachosema kuhusu pweza, samaki ni sahihi kabisa unless una kisukari au umri umeenda sana, Kushindwa kurudia tendo kwa kijana ni suala la saikolojia zaidi. Hapo hata ungepewa maji ukaambiwa ni dawa ungepona.labda, ila dawa zipo pia za ukweli
mimi nimetibika na niko sawa...
Ulisaidiwa vp kaka nipe mbinulabda, ila dawa zipo pia za ukweli
mimi nimetibika na niko sawa.
Kuna siku nilikuwa na binti niliyempenda kiukweli, siku amenipa, ile kuingiza tu wazungu hao. usiku saa 4
sikupata hamu ya kurudia hadi kesho yake jioni. hali ikawa hivyohivo. nilipata stress sana kwa kweli
nikaingia chimbo. tulivokutana baada ya mwezi , nilipiga vitatu ndani ya usiku mmoja
PWEZA INABOOST TU IKIWA UPO VIZURI, ILA HAITIBU KAMA TATIZO LIMEISHAANZA
Una uhakika ni hili mkuuuko sahihi na uko sawa kabisa mkulungwa 🐒
dawa nyingine mujarabu sana ni kuacha nyeto tu 🐒
R I P Laigwanan comrade
100%Una uhakika ni hili mkuu
0743430792Ulisaidiwa vp kaka nipe mbinu
Lipia tangazo mkuu
mpigie huyo 0743430792Ulisaidiwa vp kaka nipe mbinu
siyo kweli mkuu. tumepitia experience tunajua. Saikolojia where 😆 😆Tatizo la nguvu za kiume ni Tatizo la kisaikologia zaidi kuliko la kwenye viungo vya mwili.
Ndio maana ata ukiaminishwa chochote ni tiba unakaa vizuri tu .
Sawa mkuu upo sahihi kabisa kwa 100%siyo kweli mkuu. tumepitia experience tunajua. Saikolojia where 😆 😆
yaani inaanzaga tu, mara unasikia mwenzio ana complain mbona siku hizi una maliza haraka.
hapo jua tatizo limeanza ,usichukulie poa
hakuna saikolojia wala nini
kama hujafikia umri wa kuchungulia 50s huwezi jua haya mambo
labda, ila dawa zipo pia za ukweli
mimi nimetibika na niko sawa.
Kuna siku nilikuwa na binti niliyempenda kiukweli, siku amenipa, ile kuingiza tu wazungu hao. usiku saa 4
sikupata hamu ya kurudia hadi kesho yake jioni. hali ikawa hivyohivo. nilipata stress sana kwa kweli
nikaingia chimbo. tulivokutana baada ya mwezi , nilipiga vitatu ndani ya usiku mmoja
PWEZA INABOOST TU IKIWA UPO VIZURI, ILA HAITIBU KAMA TATIZO LIMEISHAANZA
Mtoa mada na aliyepost hayo maneno ni mtu mmojaMpaka ipitishwe mswada wa sheria wa kukubembeleza ili uitaje hiyo dawa..!?