Mnaosubiria ajira njoo mkutane na wahusika

comesucces

Senior Member
Feb 21, 2017
160
105
Hi,

Najua kabisa humu ndani kuna watu wenye full information kuhusu ajira za walimu Wa msingi na sekondari tunaombeni msaada wenu kwa kutushauri au kutupa angalau siri kidogo kuhusu ajira hizi za walimu Wa shule za msingi na walimu Wa sanaa zitatoka lini au nini msimamo Wa serikali kuhusu ajira hizi zilizositishwa kwa muda Wa karibia miaka miwili ????

Sio kwamba nimeshindwa kujiajiri lahasha ila wazazi wangu tena sio Wa kunizaa ni walezi wameonyesha dalili za kukatishwa tamaa na hizi ajira hadi kujutia kunipeleka chuo maana msaada wangu kwao kwa sasa ni hafifu sana japo naamini lau ajira zingetoka ningepata namna ya kuweza ya kuweza kuweza kuwasaidia hata kwa mshahara kidogo naopata jamani kama unajua tafadhari naomba ,naomba,naomba,naomba msaada wenu Wa taarifa

kama huhusiki na hapa au hutaki kutupatia taarifa rasmi au ushauri wako pita tu maana utatuudhi sana karibuni kwa ushauri
 
Daaahhh, mkuu yani mi ni muhanga but nilivyasahau kuwa kuna ajila siku hizi ontime nimeendesha bajaji for 5 months hivi nimejiongeza kusaka pesa uraiani. Usifikilie sana utaloose mind mkuu.
 
Serikali haina hela, Ata Rais akisema Leo muajiliwe basi awe tayari kuwalipa yeye kwa pesa anazojua pa kuzipata maana ata wizara hazijafanikisha budget yake kwa 100%. Tuwe na subira labda hii misaada ya wahisani itakuja na matumaini mapya.
 
Back
Top Bottom