Mnaosoma UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaosoma UK

Discussion in 'International Forum' started by Game Theory, Nov 17, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yaleyale ya 'Akufukuzaye ...

  Na kwanini sheria iwe kwa non-EU students pekee?
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Naona wamegundua kuwa kuwa watu wanatumia cover ya uanafunzi kwenda majuu wana enroll chuo then wanaendelea na uhalifu. Si umeona hao mabinti wa kenya ambao wamefungwa kwa kughushi tax repayment of millions? Walienda huko majuu kusoma but in turn wanafanya uhalifu. I belive there a number of foreign students ambao wanajiandikisha na hawaonekani darasani, pengine wanafanya kazi kuliko ku mind masomo yao. Walioko huko majuu watachangia vizuri sana maana wanaifahamu hali halisi ya foreign students. Wapo wengine ambao kweli wanasoma na wakimaliza hurudi nyumbani. Wengine wazamiaji. Sasa nafikiri UK wanataka kufanya filtering!! Jiandaeni wale ambao mna motive tofauti na kusoma. Amueni kusuka au kunyoa.

  On the other hand, zoezi zima litaingilia sana uhuru wa wanafunzi, yaani ni kama unajianika. Hasa wale ambao wanapenda kuwa na maisha privacy but sasa itabidi wajulikane sana. Huwa si nzuri sana mtu kukufahamu in and out. At least mtu akuone kama stundent mwema, period, na si kama kutaka kujua jana ulilala wapi na leo umemkia wapi???
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Watu wako katika dire straits, viwanja vya watu wanatight, bongo ufisadi na undugunauzesheni.

  Watu watajikita South China Sea sasa hivi.
   
 5. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  oops sorry
   
 6. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kabisa hapa watu wengi sana wanajikita kwenye kupiga mzigo tu...Lakini ndio maisha ya hapa bila kazi huwezi kuishi.....Pia wanafunzi wengi wakija hapa wakikutana na watanzania ambao ni raia wa hapa wanadanganyana sana sasa hilo nalo litawaponza sana tena ila inabidi wawe makini kama wamekuja kusoma wasome wapige kitabu ukifika mda wake kama kuna chance wafanye wanavyotaka wakijua kwamba wameshapata degree au phd hata kama akijiripua akikataliwa akirudi bongo ana degree yake sio mbaya kabisa ila wakichanganya mambo mawili kwa mara moja ni hasara hiyo......
   
Loading...