Ina hasara kubwa sana! Watu wanachelewa kupumzika/kulala na wanaamka wachovu hivyo hata utendaji kazi unaathiriwa, wanafunzi kushindwa ku-concetrate kwenye vipindi/masomo etc. Ni swala la "privacy" ila madhara yake hayabaki "private"!
Huyu jamaa akiingia magogoni aisee patachimbika watu wataacha (sio kuachishwa) kazi wenyewe!! Waulize makandarasi wachovu wa kujenga barabara walivyotolewa nduki na huyu jamaa. mtindo wa kufika ofisini saa 4 halafu ndo unaenda kunywa chai mwisho 24 oktoba 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.