masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
Wewe ndio mwana wa upotofu huwezi kuwa baraka, masai dada tuheshimiane tafadhali, mke unaachwa leo kesho unatangaza ndoa, kama ulikuwa huchepuki nini maana yake.
MUSSA ALLAN msalaniMisukosuko ya Zitto na wachaga wa CHADEMA ilianza siku nyingi sana, dalili hizi zilimpa muda mrefu wa kujipanga, na kuchagua afanyeje baada ya CHADEMA kumtimua rasmi!
Zito aliona mbali sana alipo ona tuu cdm wazushi akaanza plan b chezea weye vua gamba na gwanda vaa uzalendo
masai dada Hujui kabisa ulisemalo. Siku nyingine jifunze kutochokonoa mambo au sema machache, mengine bakiza.zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
Mpwangu masai dada huku ngoja nipite kimyakimya
Umetumwa.
masai dada Hujui kabisa ulisemalo. Siku nyingine jifunze kutochokonoa mambo au sema machache, mengine bakiza.
Source: ACT Kigoma waahidi kumlinda Zitto Kabwe Tarehe ya Picha na Tukio: 20/08/2014! Mahali: Kigoma
Masai dada umeukuja na hoja nyepesi sana. Sitti Abas mtemvu alikuwa na cheti cha kuzaliwa kikionesha amezaliwa mwaka 1996. Kilichotokea unajua. Think big mama yeyoo/nditozitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI
mpwa sioni kielelezo chochote kwamba zitto alijiunga ACT zamani
mi naona kwa sababu alikua ana mikakati na mitazamo ya kizalendo na demokrasia ya vitendo ndio maana walikua wanamuhusisha na chama cha kizalendo tangu awali lakini sijaona bandiko lolote lenye vielelzo kwamba alijiunga zamani ACT
kama kutenda mema unatabiria kuwa ni miongoni mwa kundi la watenda mema na baadae ukajiunga huko sioni tatizo
ni imani ya kizalendo sijatumwa na mtu
kwahiyo ACT ina kadi tofauti-tafauti,
ACT-Wazalendo wana kadi zao na ACT-Wazawa wana kadi zao.
What a joke...!!! Chama kimoja kadi tofauti kwanini!!????