Mnaosema Mapenzi Hayagawanyiki, Hoja hii Mmeitoa wapi?

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,646
2,000
1: Asili ya Mapenzi au Upendo,Moja kwa moja ,Tiyari mungu alishaugawa,
Na ndomana utakuta upendo ulionao kwa baba na mama ni Tofauti na Uliokuwa nao,kwa majirani,Au mpenzi wako,huu tiyari ni mgawanyo.

2:Wanasema Huwezi Penda watu wawili,Kwa wakati mmoja ,Hili pia na kataa,
Unaweza kuwapenda watu wa wawili ila Si kwa Uwiyano sawa...

Yangu ni Hayo tu....
 

Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
493
1,000
if u love two people... then u really dearly love most the second one , because if u loved the first one u wouldnt have the second....
 

gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,948
2,000
Mapenzi yanagawanyika, ila siku zote ratio haiwezi kuwa nusu kwa nusu. Huwa inakuwa robo tatu kwa robo
 

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,078
2,000
Kuna kauli moja inayoihusu ukweli nayo inapata kusema. "Truth is one, indivisible and has no side to choose"

Nadhani hii ni same applies kwa upendo/Mapenzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom