Mnaosema maisha ya Arusha ni magumu kuliko Dar huwa mnamanisha nini?

Maisha ya Dar es Salaam ni kwa ajili ya wenye Akili Timamu Tu!

Siku nyingine uache kulinganisha Dar na vitu vya kipuuzi
 
Arusha kuwe na foleni kwa vigari vipi, Daladala zao ni vipanya vinavyoenda maeneo mawili tu, kwa murombo, na Monduri.

Na ole wako saa mbili usiku ikukute uko monduri, hutopata gari ya kukupeleka Arusha mjini.
"Arusha hakuna shida ya foleni za kijinga kama dar"

Arusha kuna hali ya hewa safi na mazingira ni masafi angalau kuliko dar inayonuka

Nimependa sana neno "FOLENI ZA KIJINGA"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sizani maana mzunguko wa pesa huwezi upima kwa kigezo cha watu tu hapana

arusha mzunguko wa hela sio mkubwa kama dar ila kwa idadi ya watu wake n mkubwa
dar mzunguko wa hela ni mkubwa ila kwa idadi ya watu naweza sema sio mkubwa kiivo
juzi tamisemi ilitoa takwimu za wafanya biashara wadogo and dar ilikuwa na 11.6% out of 100% ya nchi
ikifatiwa na arusha 6.4%
mwanza 5.3%
mbeya 5.2%
na arusha n ya nne kwa idadi ya watu hapo utaona unachokisema hakiko sahihi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupia hiyo tafiti jukwaani kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My dear friend asikudanganye maisha ya Arusha ni kama yanakaribiana na dar sema tu tena Arusha ni cheap zaidi

Dar ni pagumu kuliko arusha kimaisha

Ukiangalia nyumba za kupanga city centre ni ghali kama dar tu ili huko nje ya mji ni cheap vyumba kama dar pia

Arusha bei ya vyakula ipo Chini ukilinganisha na Dsm

Arusha hakuna shida ya foleni za kijinga kama dar

Arusha kuna hali ya hewa safi na mazingira ni masafi angalau kuliko dar inayonuka

Arusha ukiwa na biashara utaenjoy watu wa kule huwa wananunua kitu hata bila kubargain au kumplain kama dar mfano dar ukiuza let say radio mtu ukimtajia bei mfano laki moja atakujibu kwamba anunue laki moja wakati kariakoo ni elfu 50?

Arusha maji yapo ya uhakika na bei chee tena huko meru maji sehemu nyingi ni bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mm huwa nawashangaa wanaosema Arusha maisha magumu nimeishi Arusha toka 2013-2017 kiukweli niliinjoy life Kwanza vyakula Bei ndogo ukienda masoko ya kilombero ,Samunge au soko kuu unarudi na mazaga kibao kwa pesa kidogo tofauti na masoko ya chakula Dar, pili Arusha upande wa nyumba Kuna nyumba nzuri na za Bei ya chini za kupanga kuliko Dar, nasikitika Sana kuhamishiwa Dar napamic Sana Arusha
 
Nimekua Arusha kwamiaka 6 na Dar kwa miaka 4 mpaka kesho nawaza kurudi Arusha....
Kwa kifupi Arusha itategemea unataka uishije hata ukisema uishi kwa kununua chakula kwa dola 1 kwa mama ntilie anaeuza chakula cha ths 800 utaishi....
Hali ya hewa safiii.... Miezi hii baridi flani inapuliza. Kwa walioko meru ndo balaa

Foleni kiukweli hakunaa kabisaa labda vimaeneo vichache sana.

Watu wa Arusha tu wenyewe ni sehemu ya uzuri wake kuanzia lafudhi na mavazi.

Kwangu mimi Arusha ilikua rahisi kupata hela kuliko Dar.
 
Hata kama ni mahaba siyo kwa hivi aisee,Dar yenye watu/wakazi zaidi ya 6Million ndiyo kuwe na maisha magumu kweli?
Kama ndiyo hivyo watu wangekimbia kukao huko.Mimi kuna jamaa yangu aliishi huko Arusha takribani miaka 8 bilabila,alihamia Dar kwa mishe ileile saivi ni miaka 5 anatokea kwake na amefungua matawi mawili ya mishe zake hukohuko.
 
Ata mm huwa nawashangaa wanaosema Arusha maisha magumu nimeishi Arusha toka 2013-2017 kiukweli niliinjoy life Kwanza vyakula Bei ndogo ukienda masoko ya kilombero ,Samunge au soko kuu unarudi na mazaga kibao kwa pesa kidogo tofauti na masoko ya chakula Dar, pili Arusha upande wa nyumba Kuna nyumba nzuri na za Bei ya chini za kupanga kuliko Dar, nasikitika Sana kuhamishiwa Dar napamic Sana Arusha
Ukiwa na ajira rasmi hakuna mkoa utauona mgumu kuliko dar maana una reliable and stable income.

Binafsi niko Moshi ila hakuna mkoa mtamu kuishi kama huu. Mji ni mdogo na hauna gharama kabisa, vyakula very cheap, kodi pia na unaweza save sana ukiwa na ajira rasmi ila chance za ku grow kibiashara ni ndogo mno. Watu wa dar hasa wapenda bata hushangaa sana life la huku yani ni kama 100k utakula na kunywa mpaka ila Dar bata la aina hio anakwambia bila 300k ujainjoy!

Watakaoelewa vyedi ni ambao wana hustle kitaa ili life liwe bora.
 
Nimeishi Arusha
Nimeishi dar

Arusha pagumu Sana kuliko dar.
Kiufupi Arusha Ni mji wa kitalii ule

Dar naweza panga chumba Cha 50k, watoto shule,wakiumwa na mahitaji yangu mengine muhimu kwa biashara ya karanga ninayoanza kuuza stendi ya mabasi kuanzia saa kumi jioni Hadi saa tano usiku

Hapo hapo nalipa vicoba,na nacheza mchezo,
Dar tofali moja 1000 mpaka site,
Arusha tofali 2000-2500

Sihami dar hata kwa fimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
ww ndo umesema ukweli
 
Safiiii naomba uje chaga grill hapa karibu n Leopard ule mchemshoo na bia mbilii.

Moshi patamu sana japo panakuwa amepoa ila inategemea na maeneo.
 
Hahahahah niko Total hapa opposite na Alberto, dakika 0 hapo mwambie aandae supu kabisa.
 
Ukiwa na ajira rasmi hakuna mkoa utauona mgumu kuliko dar maana una reliable and stable income.

Binafsi niko Moshi ila hakuna mkoa mtamu kuishi kama huu. Mji ni mdogo na hauna gharama kabisa, vyakula very cheap, kodi pia na unaweza save sana ukiwa na ajira rasmi ila chance za ku grow kibiashara ni ndogo mno. Watu wa dar hasa wapenda bata hushangaa sana life la huku yani ni kama 100k utakula na kunywa mpaka ila Dar bata la aina hio anakwambia bila 300k ujainjoy!

Watakaoelewa vyedi ni ambao wana hustle kitaa ili life liwe bora.
Dar watu wanajilipua sana kimatumizi... arusha bado pako chini sana kwa gharama ikiwa bata n.k.. kwa mala ya kwanza nafika Arusha nikawa nawashangaa watu walio kuwa wananiambia Arusha ni expensive kuliko dar.. na nika wa prove wrong..
 
Ndio maana Dar ni rahisi kutusua kibiashara. Hasa ukijikita kwenye mavyakula unatoka fasta. Dar mtu kula chips kuku makange kwa 10,000 ni kitu cha kawaida sana ila sio mkoani.
 
Dar unaweza toboa na mishe yoyote ila Arusha kama sio tour operator au madini basi kutoka mbinde sana
Hakuna kitu kama hicho, Labda usichojua mtu yeyote anaweza kufanikiwa mahali popote kwa kufanya biashara hizi hizi unazoziona huko mijini, Inategemea tu na jinsi mtu alivyojipanga na si kwamba kuna miji huwezi fanikiwa kwa sababu si Dar, Hapo hapo Dar kuna watu kwa maelfu wanaishi maisha ya ajabu , Hawana mahal pa kulala, Chakula cha buku tu ni shida halafu useme eti arusha maisha magumu? Anaesema hivyo hajajua anachosema ama yupo tu nyuma ya pazia
 
Ndio maana Dar ni rahisi kutusua kibiashara. Hasa ukijikita kwenye mavyakula unatoka fasta. Dar mtu kula chips kuku makange kwa 10,000 ni kitu cha kawaida sana ila sio mkoani.
Dar kukata 1mill ni kugusa tu, ila mikoani ukipiga bata la hata 400k unaonekana mwamba sana.. ila dar bado mchumba kabisa 😀😀😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom