Mnaoponda upinzani; ni nani anaweza kuwatetea na kuikosoa serikali kama CHADEMA?

Sijaona walilofanya.Labda ungesema ni nini walichofanya kuboresha maisha ya mtanzania... otherwise just keep on talking

Nakusikitikia sana kwa upeo wako mdogo,
ninachokuomba ipe kura yako CDM 2015 nakuhakikishia utanenepa sana mkuu.
 
Nadhani utalipata hili zaidi pale watakapowakilisha bajeti yao kama kambi rasimi yaupinzani j3.Unasemaje?Kwamuda woote ujaona nini mkabala kwa Cdm kama Ccm wanakosea?Nadhani j3 utaanza kupata kitu,sikiliza Bunge j3.

Kaka, siku nyingine ukiwa unaoga mtoni na mwendawazimu akachukua nguo zako usimkimbize kwani watu watajudge wewe ndiye mwenye wazimimu usitumie nguvu kwa watoa mapovu mdomoni.
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.

Wanasema, ila wewe pengine hutaki kuasikiliza ama huwaelewi yanii mgumu kuelewa ama umeamua tu kupinga kila kitu cha Chadema. Badilika kwanza ndio utauona ukweli ndugu yangu Ritz.
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.
mkubwa sera zetu zipo wazi tafuta ilani yetu ya chama majibu yote utayapata
 
Tatizo Chadema hawasemi watawafanyia nini Watanzania, hivi Mwananchi wa kawaida unakuwa unamueleza tu matatizo ya CCM halafu wewe usemi utafanyaje zaidi ya kusema kauli mbiu tu, Hakuna kulala mpaka kieleweke, tunataka kuwakomboa, semeni CCM wameshindwa sisi tatafanya A.B.C.D sio maneno matupu.



Unaroho ngumu wewe mtu!

Yaani kweli hujawahi kuwasikia CDM wakisema wao wakipewa nchi watasemaje??

Mtakuja kuelimika lini?


......
 
Heshima kwenu wana jf! Nimeamua kuandk hili kutokana na baadhi ya watu kuonekana kukiponda CHADEMA (upinzan) kuwa hawana lolote,wanapinga kila ki2.naomba wanijb haya

1.serikali ya CCM bila upinzani inaenda?
2.ni chama gani kama siyo CHADEMA kinaonesha kutetea wananchi na kuikosoa serikali effectively?
3.bila upinzani hasa CHADEMA ungewezaje kutambua uozo wa serikali ya CCM?

Rai yangu
upinzani una nafasi kubwa kuikosoa serikali na kutetea wananchi.bila upinzani tanzania inge/takuwa screpa. CHADEMA Wameonesha ukomavu katika hili kuliko wapinzani toka vyama vingn na hili liko wazi!

VIVA CHADEMA! MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU KIBARIKI CHADEMA!

wasiolijua hilo kaka ndiyo hawa wasioelewa maana ya siasa za vyama vingi, CCM na wapambe wao wanatamani mfumo wa chama kimoja urudi ili watutawale vizuri. Ukimuona kijana yeyote wa taifa hili anakuwa mwanachama wa CCM ujue ana mapungufu mengi sana japokuwa ni haki ya kila mtu kuwa kwenye chama akitakacho.
 
Wanachokifanya CDM ni mpango mkakati binafsi nimeona vitu vingi vyenye uelekeo wa kusaidia wananchi, wanaosema hawajafanya kitu wanaweza kuwa sahihi ila wamesahau kuwa CDM hawako madarakani sasa mnataka wafanye programmes za kimaendeleo kama NGO's wakati ni chama cha siasa kilicho nje ya utekelezaji wa kiserikali...nashangaa sana watu wanalazimisha vitu kihayawanihayawani. Ngojeeni waingie madarakani ndiyo muwapime uwezo wao.Naamini wanaweza kwani sijaona CCM wakifanya maendeleo wao ni mabongo lala tu mfano ni bajeti za serikali hazina tija ya kumkomboa mwananchi wa kima cha chini wanacopy na kupaste, sijaona wakiweka sekts ya madini kama mhimili mkuu wa kukuza uchumi, eti utalii ndiyo unaongoza kimapato hainiingii akilini hata kidogo.
 
Yani kama kuna kipindi seikali ya CCM inapata shida bungeni ni wakati wa mijadala ya vifungu vya sheria na vya bajeti.

Soon tutaanza kumuona AG anavyokuwa mnyonge pale Mnyika, Lissu, Zitto na Mdee wakianza kumkimbiza. Mzee wa watu huwa anatamani kipindi chake kiishe akapumzike maana makamanda wanamtesa sana.
 
Usiwe mvivu wa kufikiri, mchakato wa katiba mpya ni hoja ya NCCR. Kwa kuwa Zanzibar wanayo yao mpya, Tanzania ilnabidi nayo iwe nayo mpya.CDM haiwezi kuishurutisha CCM hata siku moja. Chama cha upinzani kazi yake ni kuchukua madaraka, till then you can't measure your sucess based on flimsy bills zinazopitishwa bungeni. Upinzani siyo sifa, ni u-looser!!

Naam, ilani zote za NCCR-Mageuzi; 1995,2000,2005, na 2010 zilitaja katiba mpya na mfumo mpya wa sheria zinazotenda haki. Ilani ya 2010 inataja mambo 18 ambayo katiba mpya inatakiwa kufanya au kuwa nayo. Aidha Mnamo Julai 2010 NCCR-Mageuzi ilitangaza kwamba itaanzisha mchakato wa kupata katiba mpya, na mchakato huo ungechukua miezi 18. Hii ilikuwa kabla wengine hawajasema, na hicho ndicho ikulu ime-cut na ku-paste (tume imepewa miezi 18).
 
CCM porojo nyingi, utendaji hafifu. Kama UAMSHO wanasema muungano basi, huku bara tunataka TANU yetu. Yamkini TANU ina akili zaidi, manake CCM ni muungano huu huu unaotutesa.
 
Back
Top Bottom