Kwa jina la "Mola" wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hoja zinaendelezwa.
1. KATIBA ni instruction manual book, iliyotayarishwa na Muumbaji wa sisi watu.
2. Katiba hii ni two in one-
1- katiba mama Q3:7, ufu 5:1, 6, 12 na
2- katiba mwenza Q15:87 -elimu ya Uraia Qur'ani Juz'u ya 30, 29 na 28 yenye ibara 1176 katika Sura 57; kwani Mwenyezi Mungu Kaumba kila kitu viwoili viwili.
3. Katiba hii IPO ndani ya Biblia ibara saba -1) Uweza, 2) Utajiri, 3) Hekima, 4) Nguvu, 5) Heshima, 6) Utukufu, 7) Baraka (ufu 5:1, 6, 12) [sawa kama katibu ya marikani ina ibara saba tu] na kuja kurejelewa ndani ya Qur'ani Sura ya Ushindi Q1:1-7 ikikamilishwa Qur'ani Juz'u ya 30, 29 na 28.
4. Ndugu Kibosho 1, haya yanahitaji wanaume tuakae chini kwa utulivu tukimtegemea Mungu wetu watu weusi, kwa taratibu zetu, tuchambuane kwa umahiri mno, Mungu tukimweka mbele.
5. Historia inaonyesha waasisi wa katiba ya marikani Thomas Jefferson, walisoma Biblia na Qur'ani yote, ndipo wakaichapa katiba yao yenye ibara 7 (shusha mtandaoni "KATIBA YA AMERIKA" ujionee!!!).
6. Ndugu Kibosho 1, Askofu Pengo amewahi kusema "kuna ni kuamini". Ndio maana nakuomba watu wanaume tukae chini tutafakari kwa kina jambo hili LA KITABU CHA UONGOZI WA NCHI, TAIFA NA WATU WAKE. Mbona tunaona Wamarikani na ibara zaho saba na muongoxo mkubwa kura takribani 300? Hayo aliyajuaje? Ni baada ya wako kujitambua kuwa wameumbwa. Kwa wakarejea kuangalia maanfiko matakatifu, wakatoka na ibara 7 na mwongozo mkubwa Q15:87. Ndio maana Sh Mkuu tumkubali ametutaka Watanzania
1* TUJITAMBUE-
a) sisi watu ni nini?
b) sisi watu ni nani?
c) tumetoka wapi?
d) tunaenda wapi?
e) tuende je?
f) njia iko wapi?
g) fumbo letu likoje?
2* TUBADILIKE ..............
a)tuirejelee dini yetu watu weusi -UNYENYEKEVU:-
1) Wa Wote (Mwenyezi Mungu) ndiye kila kitu0
2) Sifa ni za Wa wote peke Yake
3) Mila ilienziwa, Mila ya baba wa Imani. 4) Sabato kuenziwa,
5) Baba wote na Ma ma wote kuwaheshi
mu,
6) usiue
7) usizini,
8) usiibe
9) usiseme uongo na
10) usifuate mila nyinginr
NI AMRI KUMI HIZI NDIYO DINI YETU, DINI YA MANABII NA MITUME.
na
3* NA TUACHE MAZOEA.........
1) mfumo wa shule kufutwa kabisa,
2) lengo la kusoma lisiwe ni kupata ajira bali kujiajiri,
3) umakundi kukatazwa hadi kufutwa,
4) Wa Wote ndiye Tumuamini (tukariri maandiko), na sio kuwaamini wazungu,
5) kabla ya kuzipigania hali zetu sisi watu, kwanza tuipiganie HAKI ya Mungu.
Ndio maana Namkubali hayati Magufuli kwa jambo lake hili ,"MUNGU TUMUWEKE MBELE"
7. Waingereza wao KATIBA wanayo kwa Utatu matakatifu walioushika-
1) Malkia akitokea ikulu ya Backingharm. 2) Askofu mkuu wa Kantibare akitokea Ikulu ya Lambath, na
3) Wazir Mkuu kutoka chama kilichoshinda kura, akitokea Jumba LA Binge -10 Down Street {yaani wao jumba hilo linasimamia amrisha 10 zifuatwe mitaani}.
Kumbuka kwa Mfalme James, aliye ikusanya Biblia na kuiandikia maekezo
8. Wao Waingereza taifa lao ni Anglikan.
Kama walivyo-
-Wajerimani ni Waluteri dini ya taifsa lao.
-Warusi ni Maothodox,
-Waitaliano, Wasipaniola, Wareno na nchi za Skandernavia ni wakatoliki.
-Wamarikani ni Walokole,
-Wasaudia ni Answar
-Wairani ni Mashia dini ya taiga lao
-Wajapani ni Mashonzi,
-Wachina ni mabuda,
-Wahindi ni Mahindu; ajabu kaka; sisi tumechukua dini za mataifa mengine na kuzihodhi kama dhehebu au taasisi au shirika na sio dini ya taifa letu. Hakika tumepotea
9. Nashauri eee Wanaume (neno hili wanaume lina maana KIUME), tujipange tujue-
1)- dini yetu watu weusi dini ya manabii,
2) seta yetu
3) ilani
4) kalenda ya uchaguzi iliyokuwepo tangu mbingu na ardhi
5) katiba iheshimiwayo,
6) kanuni za utawala bora
7) njia ya kumfikia Mungu
8) tauba
9) uongozi wa nchi umefichwa
10) utawala hewa
11) mini kifanyike?