Mnaopinga Katiba mpya, tupeni madhara yake na sisi tujue

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,997
Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa.

Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa sasa. Hajiulizi kikimtokea kilichomtokea mwendazake nani atakuwa na moyo kama wake! Mpole, mwelewa, mwenye huruma n.k.

Sasa tuonamba watuambie madhara ya katiba mpya ni nini Ili na sisi tuipinge?

Faida tumeziona nyingi tu na nzuri.
 
Kutaja athari za katiba mpya nisawa nakujisema mbele Zawatu kwamba utajiri huu nimepata kwasababu yakumtafuna mama angu kimazngira au mwamakubaliano ya siri(mubashara)
 
Kwa jina la "Mola" wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hoja zinaendelezwa.

1. KATIBA ni instruction manual book, iliyotayarishwa na Muumbaji wa sisi watu.

2. Katiba hii ni two in one-
1- katiba mama Q3:7, ufu 5:1, 6, 12 na
2- katiba mwenza Q15:87 -elimu ya Uraia Qur'ani Juz'u ya 30, 29 na 28 yenye ibara 1176 katika Sura 57; kwani Mwenyezi Mungu Kaumba kila kitu viwoili viwili.

3. Katiba hii IPO ndani ya Biblia ibara saba -1) Uweza, 2) Utajiri, 3) Hekima, 4) Nguvu, 5) Heshima, 6) Utukufu, 7) Baraka (ufu 5:1, 6, 12) [sawa kama katibu ya marikani ina ibara saba tu] na kuja kurejelewa ndani ya Qur'ani Sura ya Ushindi Q1:1-7 ikikamilishwa Qur'ani Juz'u ya 30, 29 na 28.

4. Ndugu Kibosho 1, haya yanahitaji wanaume tuakae chini kwa utulivu tukimtegemea Mungu wetu watu weusi, kwa taratibu zetu, tuchambuane kwa umahiri mno, Mungu tukimweka mbele.

5. Historia inaonyesha waasisi wa katiba ya marikani Thomas Jefferson, walisoma Biblia na Qur'ani yote, ndipo wakaichapa katiba yao yenye ibara 7 (shusha mtandaoni "KATIBA YA AMERIKA" ujionee!!!).

6. Ndugu Kibosho 1, Askofu Pengo amewahi kusema "kuna ni kuamini". Ndio maana nakuomba watu wanaume tukae chini tutafakari kwa kina jambo hili LA KITABU CHA UONGOZI WA NCHI, TAIFA NA WATU WAKE. Mbona tunaona Wamarikani na ibara zaho saba na muongoxo mkubwa kura takribani 300? Hayo aliyajuaje? Ni baada ya wako kujitambua kuwa wameumbwa. Kwa wakarejea kuangalia maanfiko matakatifu, wakatoka na ibara 7 na mwongozo mkubwa Q15:87. Ndio maana Sh Mkuu tumkubali ametutaka Watanzania
1* TUJITAMBUE-
a) sisi watu ni nini?
b) sisi watu ni nani?
c) tumetoka wapi?
d) tunaenda wapi?
e) tuende je?
f) njia iko wapi?
g) fumbo letu likoje?
2* TUBADILIKE ..............
a)tuirejelee dini yetu watu weusi -UNYENYEKEVU:-
1) Wa Wote (Mwenyezi Mungu) ndiye kila kitu0
2) Sifa ni za Wa wote peke Yake
3) Mila ilienziwa, Mila ya baba wa Imani. 4) Sabato kuenziwa,
5) Baba wote na Ma ma wote kuwaheshi
mu,
6) usiue
7) usizini,
8) usiibe
9) usiseme uongo na
10) usifuate mila nyinginr
NI AMRI KUMI HIZI NDIYO DINI YETU, DINI YA MANABII NA MITUME.
na
3* NA TUACHE MAZOEA.........
1) mfumo wa shule kufutwa kabisa,
2) lengo la kusoma lisiwe ni kupata ajira bali kujiajiri,
3) umakundi kukatazwa hadi kufutwa,
4) Wa Wote ndiye Tumuamini (tukariri maandiko), na sio kuwaamini wazungu,
5) kabla ya kuzipigania hali zetu sisi watu, kwanza tuipiganie HAKI ya Mungu.
Ndio maana Namkubali hayati Magufuli kwa jambo lake hili ,"MUNGU TUMUWEKE MBELE"

7. Waingereza wao KATIBA wanayo kwa Utatu matakatifu walioushika-
1) Malkia akitokea ikulu ya Backingharm. 2) Askofu mkuu wa Kantibare akitokea Ikulu ya Lambath, na
3) Wazir Mkuu kutoka chama kilichoshinda kura, akitokea Jumba LA Binge -10 Down Street {yaani wao jumba hilo linasimamia amrisha 10 zifuatwe mitaani}.
Kumbuka kwa Mfalme James, aliye ikusanya Biblia na kuiandikia maekezo

8. Wao Waingereza taifa lao ni Anglikan.
Kama walivyo-
-Wajerimani ni Waluteri dini ya taifsa lao.
-Warusi ni Maothodox,
-Waitaliano, Wasipaniola, Wareno na nchi za Skandernavia ni wakatoliki.
-Wamarikani ni Walokole,
-Wasaudia ni Answar
-Wairani ni Mashia dini ya taiga lao
-Wajapani ni Mashonzi,
-Wachina ni mabuda,
-Wahindi ni Mahindu; ajabu kaka; sisi tumechukua dini za mataifa mengine na kuzihodhi kama dhehebu au taasisi au shirika na sio dini ya taifa letu. Hakika tumepotea

9. Nashauri eee Wanaume (neno hili wanaume lina maana KIUME), tujipange tujue-
1)- dini yetu watu weusi dini ya manabii,
2) seta yetu
3) ilani
4) kalenda ya uchaguzi iliyokuwepo tangu mbingu na ardhi
5) katiba iheshimiwayo,
6) kanuni za utawala bora
7) njia ya kumfikia Mungu
8) tauba
9) uongozi wa nchi umefichwa
10) utawala hewa
11) mini kifanyike?
 
12) tutafute asili ya kila jambo, tukiepuka dhana.

10. Kwa vile wenzetu Wazungu watawala, saa zote wako VITANI, hawalali; umuhimu wa kukaa vikao badala ya kujibishana mtandaoni ni bora zaidi, ikiwa tuko serious. Bali ikiwa tunataka kuonyeshana kuwa kila mtu anajua, ukweli utazidi kufichikana.
 
11. Askofu Pengo alisema "KUONA NI KUAMINI". Sh Mkuu naye alisema "TUJITAMBUE, TUBADILIKE NA TUACHE MAZOEA". Hayati Magufuli akasema "TUMUWEKE MUNGU MBELE". Na Raisat Mama SamIa kasema "MALEZI KWA WATOTO NA WAKUBWA YAZINGATIWE (hii ikiwa na maana historia yetu ifunzwe upya na elimu ya uraia kiungu iwe ni somo LA lazima kwa wadogo na wakubwa -hasa tukianza na WABUNGE)".
12. Kwa semi hizo 4 tuzidadavue na kuzifanyia kazi.
13. Na kwa USEMI huo wa Raisat Samia, (MALEZI) hata asiposema neno lingine miaka minne iliyobaki awamu hii waiitayo ya sita, YATOSHA.

NDUGU YANGU KIBOSHO 1-

14. RAISAT SAMIA keshamaliza kazi kwa usemi wake huo alioutoa mbele ya baraza LA WAZEE. Tuanzie hapo SOTE.
1) Majeshi yetu 9, hapo ndipo tuanzie.
2) Mawizara yetu 23, hapo ndipo tuanzie.
3) Shule na vyuo vyetu. hapo ndipo tuanzie.
4) Waajiriwa serikalini, hapo ndipo tuanzie.
5) Wakulima, hapo ndipo tuanzie.
6) Wabunge kazi mnayo. Kutoa sera, ilani, mipango juu ya malezi muafaka kwa umma wa wana wa Mama Mweusi na sio kugawana mahela kwa kila wizara hewa Mji mkuu. Hela ambazo huishia kwenye manunuzi ya vifaa kutoka viwandani USA, EEU NA BRICS.

Kaka, Raisat Samia, Asiseme lingine; atatuyumbisha.

15. MALEZI sote yawe ndio KILIO CHETU?

Hiki ndicho-

1] TUWEZE KUJITAMBUA, TUBADILIKE NA TUACHE MAZOEA.
2] MUNGU WETU WATU WEUSI (uzao wa kinabii) AWEKWE MBELE.
3] NI KWELI HAYO -TUMEONA WACHINA WAMEFANIKIWA, kwa nini tusiamini?

16. OMBI KWA WATANZANIA WENZANGU:
1- Siasa ni uongo (mchezo), tuucheze ki njia ya watu WEUSI -warithi wa Manabii.
2- Kauli hiyo ya Raisat Samia, NDIYO. Mama atulie, aiwekee mikakati.
3- Nyerere alisema tukalete elimu ya KUJENGA NCHI. Elimu hiyo IPO, tunayo tayari. Na tuko tayari kuibainisha.
4- MALEZI, Mama asiongeze kauli nyingine, vikao chini kwenye nyumba 10-50 vianze, blue print tunayo.
5- Kaka Kibosho 1 ~hivyo tunajaribu kufafanua. Nini kifanyike in one year tuone na tuamini.

17. TENA USIWE NA MASHAKA:
STOCK TUNAYO-
1* Ruhusa -kauli ya Mzee Mwinyi,
2* Serikali ihakikishe misitu ikuzwe mingi, kwa ajili ya kutengeza meza -kauli ya hayati Karume
3* Mtaji wa masikini ni nguvu zake -kauli ya Mkapa na
4* Akili ya mwenzio, uchanganye na yako -kauli ya Kikwete.......

.......aiwaaaah!
 
Asante ndugu Kibosho 1
Kwa jina LA "MOLA" wa JMT, uchambuzi uendelee tufikie KUJUA LAKUFANYA. Kabineti ikae ipasishe na MSWADA upelekwe BUNGENI.

Pay forward please?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom