Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,491
- 3,998
Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa.
Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa sasa. Hajiulizi kikimtokea kilichomtokea mwendazake nani atakuwa na moyo kama wake! Mpole, mwelewa, mwenye huruma n.k.
Sasa tuonamba watuambie madhara ya katiba mpya ni nini Ili na sisi tuipinge?
Faida tumeziona nyingi tu na nzuri.