Sasa utakuaje mrefu ukisimama na aliyekuzidi urefu ?? Kubali tu wewe hapo ni mfupi hata kama ni mrefuMimi ni mrefu, lakini nilipataga mwanamke mrefu mrefu kweli kuliko mimi, lakini siyo kama huyo....
Sasa utakuaje mrefu ukisimama na aliyekuzidi urefu ?? Kubali tu wewe hapo ni mfupi hata kama ni mrefu
Eeeeh haya hilo nalitambua ila pamoja na hilo ni lazima kati yenu awepo mrefu na mfupi ,sio mrefu na mrefu sanaNa maana ya kwamba kapita ule wastani wa kuitwa mrefu... yupo kaenda hewani sana...
Unasemaaaaa??na ni warefu kweli hata maungoni