englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Sijaelewa kitu...
kuna watu wanapenda sana kutembea na wanafunzi labda wakiwashonea wake zao uniform kama wanafunzi wataridhika na wake zao watawaacha wanafunzi waendelee na shule.Hata mimi aiseee
Sijaelewa kitu...
Hata mimi aiseee
kuna watu wanapenda sana kutembea na wanafunzi labda wakiwashonea wake zao uniform kama wanafunzi wataridhika na wake zao watawaacha wanafunzi waendelee na shule.
Mama rudia ana watoto wawili,wa pili anaitwa tena wa kwanza anaitwa nani????
sawa...utaelewa tu rudia rudia kusoma..