Mnaonaje tukibadilisha............?

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini asilimia kubwa ya Mabibi harusi huvaa gauni jeupe na si vinginevyo?katika kutaka kujua hilo;nikawauliza baadhi ya watu na majibu yao yalifanana,walisema hivi;NGUO NYEUPE HUMMANISHA KWAMBA BI HARUSI BADO NI MSAFI/HANA DOA NABADO ANAO USICHANA WAKE (BIKIRA) AMBAYO NI ZAWADI KWA BWANA".Sasa hali ilivyo siku hizi watu hufunga ndoa wakishakuwa wamechakachuana na usichana unakuwa umeondoka,tena wengine hufunga ndoa wakati tayari wakiwa na watoo au wajawazito.Je kuna maana yeyote ya kuendelea kutumia gauni jeupe kwa tafsiri hiyo hapo juu?
 
Pamoja na yote hayo tukubali tu kiroho safi kua white inapendeza bana inamfanya bibi harusi anashine, habari za kuvaa rangi za kizee nani anataka??hata wale ambao dini inawataka kuvaa za rangi nyingine siku hizi nao wanavaa white unafanya mchezo?!
 
duh,me cjui nipo kundi gani? n-wey ntavaa rangi ya hudhurungi. . . Baba Vianney
 
Last edited by a moderator:
Nakapanya umewaza kweli!!
Utadhani wameambiwa wasipovaa white ndoa haitafungwa
 
Nakapanya umewaza kweli!!
Utadhani wameambiwa wasipovaa white ndoa haitafungwa

hahaaaa......lakini inabidi na mabwana nao wawe wanawashauri mabibi wao kuhusu vazi hilio kulingana na hali iliypo
 
What if hiyo bikira alionjeshwa bwana harusi ikiwa sehemu ya ku-seal contract?

hapo anakuwa tayari amevunja utaratibu,inatakiwa ile kitu itolewe wakati tayari wameshingia kwenye ndoa,kuvaa nguo nyeupe inatoa ushahidi kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa mtoto wetu ni msafi na anakwenda kumtunuku bikira hiyo mume.
 
Huku kwetu wenye mimba wanavaa la blue,asie bikra la khaki,mcharuko red,aliyewahi kuolewa before black!

Nafikiri kuwa nakubaliana na wewe.......maana hii tabia sasa imezidi mno mpaka inaondoa ile maana halisi ya hilo vazi.

Tukubaliane tu humu JF , then wengine watafuata tu.
 
Pamoja na yote hayo tukubali tu kiroho safi kua white inapendeza bana inamfanya bibi harusi anashine, habari za kuvaa rangi za kizee nani anataka??hata wale ambao dini inawataka kuvaa za rangi nyingine siku hizi nao wanavaa white unafanya mchezo?!

ni kweli anapendeza lakini lengo la hilo vazi linakuwa limevunjwa kwahiyo wahudhuriaji tunakuwa tumedanganywa.
 
Ni kweli hata mm nlishawahi muuliza mama yangu kwann tunavaa mashati ya shule meupe wakati huo niko primary akaniambia inamaanisha kwamba bado ni msafi hata ukifika A level bado unatakiwa kuwa msafi. Kwa sie wakristo tunapopata kipaimara tunavaa magauni meupe mm nikamuomba mama anishonee la rangi ya light either pink au blue ili niweze kulivaa hata siku nyingine kwenye sherehe kwani gauni jeupe linaonekana rasmi sana ukivaa kama hamna shuhuli maalum(harusi au kipaimara) watu wanakushangaa balaa akasema hapana hili gauni jeupe bado linaonesha wewe ni msafi so nikavaa gauni jeupe frm there nilitunza huo weupe na nilijiapiza kutoutoa au kuweka doa hadi niolewe. Nilifanikiwa kumaliza A level baada ya hapo lol nilizidiwa akili na maarifa doa likaingia kuanzia hapo hadi nilipofika chuo loooh!
 
ni kweli anapendeza lakini lengo la hilo vazi linakuwa limevunjwa kwahiyo wahudhuriaji tunakuwa tumedanganywa.

hahahaa ndoa ni ya watu wawili tu,wahudhuriaji na mashabiki tu hata wakidanganywa hakuna mbaya..
 
Ni kweli hata mm nlishawahi muuliza mama yangu kwann tunavaa mashati ya shule meupe wakati huo niko primary akaniambia inamaanisha kwamba bado ni msafi hata ukifika A level bado unatakiwa kuwa msafi. Kwa sie wakristo tunapopata kipaimara tunavaa magauni meupe mm nikamuomba mama anishonee la rangi ya light either pink au blue ili niweze kulivaa hata siku nyingine kwenye sherehe kwani gauni jeupe linaonekana rasmi sana ukivaa kama hamna shuhuli maalum(harusi au kipaimara) watu wanakushangaa balaa akasema hapana hili gauni jeupe bado linaonesha wewe ni msafi so nikavaa gauni jeupe frm there nilitunza huo weupe na nilijiapiza kutoutoa au kuweka doa hadi niolewe. Nilifanikiwa kumaliza A level baada ya hapo lol nilizidiwa akili na maarifa doa likaingia kuanzia hapo hadi nilipofika chuo loooh!

sasa hapo nakushauri utakapo kuja kufunga ndoa usivae gauni nyeupe kwani doa lishaingia hapo.
 
sasa hapo nakushauri utakapo kuja kufunga ndoa usivae gauni nyeupe kwani doa lishaingia hapo.

nshafunga ndoa mie nina miaka kadhaa sasa na watoto tele ninao ila siku nilipokuwa nafunga ndoa mama alirudi tena na ile theme yake ya usafi na nguo nyeupe akataka nivae gauni la cream ila mume wangu akakataa akasema vaa white tupendeze waifu basi ikawa hivo maybe kwenye annivessary ya miaka kadhaa hv ntavaa cream au pikn
 
hahahaa ndoa ni ya watu wawili tu,wahudhuriaji na mashabiki tu hata wakidanganywa hakuna mbaya..

ndoa huwa ni ya watu wawili kweli lakini sisi ndio tunaotoa ushuhuda kuwa kweli wawili hao waungana na kuwa mwili mmoja,sas inapofikia mahala sisi mashahidi tunaamini kuwa bwana usiku huo baada ya ndoa ataenda kufaidi usichana wa mke wake usiku ule wa honey moon ilihali binti alishabemendwa siku nyingiiiii,hapo mnakuwa hamtutendei haki kabisaaaa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom