Mnaomshabikia Gwajima hamjielewi

Mnaomshabikia Gwajima hamjielewi

Mwambieni askofu wenu tunataka mahubiri ya biblia takatifu sio udaku na maneno yasiyo ya Kiungu kama kuliamsha dude.Ebboo
Unataka we kama Nani? Kama ulipo hapakusatisfy njoo huku kwenye udaku..... Sio ulazimishe tukufate wee
 
Elimu elimu elimu, ukijumlisha na umasikini tulionao ni shida tu
 
Watu wengine wanaanzisha thread za kiseng... Nge ili wapate wachangiaji wengi. Mimi naamini kuwa wewe uliyeanzisha hii topic ndo mwehu usiyejielewa coz Gwajima hajawahi kumlazimisha mtu yoyote awe mfuasi wake.
Dah umetisha mkuu kwa tabia zako hizi za kutukana ni bora hata huko kwa Gwajima usiende tafuta kwanza mtaalamu wa akili
 
Heavyload, Kati yako na Gwajima, ni nani anafaida kwa Tanzani?
Faida yangu kwa nchi hii kubwa zaidi ya huyo mungumtu wenu kwakuwa nasisitiza upendo,kuvumiliana,maadili yanayompendeza Mungu pamoja kusema ukweli
 
Watu wengine wanaanzisha thread za kiseng... Nge ili wapate wachangiaji wengi. Mimi naamini kuwa wewe uliyeanzisha hii topic ndo mwehu usiyejielewa coz Gwajima hajawahi kumlazimisha mtu yoyote awe mfuasi wake.

Ukichangia thread ambayo unajua ni ya kise##nge hata wewe mchangiaji huwa ni mse##nge kama mtoa thread
 
Back
Top Bottom