mkali wa kitaa
Member
- Jan 23, 2014
- 37
- 34
CCM tunawaona kwa vitendo





Kama ndivyo kwanini akaongee yote haya kwenye nyumba ya ibada ?!Alisema anaongea na familia yake, sjui wewe yamekufikiaje?
AMUN RANinachoamini ni kuwa hamna ovu lolote linaweza kudumu ipo siku ulimwengu utashuhudia uovu wa huyu kiumbe kama anavyowaita wengine
Hawajielewi kwa kuwa wanafuata masimulizi yake. Bahati nzuri masimulizi yake, nyie mnayaita mahubiri, yanavutia. Yale ni masimulizi ndio maana anasimulia mambo yanayojitokeza kila siku nchini. Anarukia kila kitu kwa sasa. Tena wanaongezeka maana masimulizi yake yanavutia.kwa hiyo wafuasi wa kanisa lake hawajielewi
Mkuu kanisa lile siyo lake,chake ni kile kibanda tu wanachokutania.kwa hiyo wafuasi wa kanisa lake hawajielewi
ok sawaHawajielewi kwa kuwa wanafuata masimulizi yake. Bahati nzuri masimulizi yake, nyie mnayaita mahubiri, yanavutia. Yale ni masimulizi ndio maana anasimulia mambo yanayojitokeza kila siku nchini. Anarukia kila kitu kwa sasa. Tena wanaongezeka maana masimulizi yake yanavutia.
AseeehMkuu kanisa lile siyo lake,chake ni kile kibanda tu wanachokutania.
Watu wanafurahia masimulizi!!!Hawajielewi kwa kuwa wanafuata masimulizi yake. Bahati nzuri masimulizi yake, nyie mnayaita mahubiri, yanavutia. Yale ni masimulizi ndio maana anasimulia mambo yanayojitokeza kila siku nchini. Anarukia kila kitu kwa sasa. Tena wanaongezeka maana masimulizi yake yanavutia.