Mnaomshabikia Gwajima hamjielewi

Mnaomshabikia Gwajima hamjielewi

Wewe unamushabikia nan mkuu afu mbona hilo povu ni la omo
 
Naona umekwisha conclude kuwa ni mzushi na muongo.
 
Watu wengine wanaanzisha thread za kiseng... Nge ili wapate wachangiaji wengi. Mimi naamini kuwa wewe uliyeanzisha hii topic ndo mwehu usiyejielewa coz Gwajima hajawahi kumlazimisha mtu yoyote awe mfuasi wake.
 
Kama ni mtumishi wa Mungu aache majungu na udhalilishaji maana Mungu wetu hayupo hivyo
Pia ni mwongo tena mzushi Chukua hatua mtanzania mwenzangu
uhuru wa kujieleza haupo hivyo
 
Back
Top Bottom