Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
Nashindwa kuelewa, kama Luna watu walikuwa na uwezo wa kumshauri mzee mzima kupiga pushup na kuruka mapanga shaa na akatii iweje Leo yale ya msingi wanaogopa kumwambia?Wamemgeuza kuwa Mungu wao.
Anaaminika kuliko hata kibwetere.
UmenenaNi ngumu sana kwa wanaomzunguka Magufuli kumshauri maana wanajua haiba yake.
Magufuli ni mtu wa misimamo mikali, akishikilia kitu hakiachii hovyo hovyo labda awepo mtu mwenye mamlaka ya kutengua anachokiamini.
In short Magufuli ni Manager and not a Leader...
Ila kwa taifa lilipokuwa limefikia inabidi tuwe na mtu wa namna hii...
Bro..asante sana kwa bandiko lako mkuu awali ya yote naomba unitajie hyo filamu ya castro na mie niione ni moja kati ya watu nawapenda sans kuwafatilia..Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
Asante kwa kuliona hiliNa inaonekana sasa iv amedanganywe wafanyabiashar wameficha sukar, wakati si kweli, washaur wake wamegeuza neno kuhifadhi na kufanya lionekane kuficha, coz sio kosa kuhifadhi mzigo wowote kwenye Ghala kama ni mwing
I lived in Brazil wabrazil wanatatizo la overproduction ya kahawa ndio wakati mwingine huichoma ili wacreate artificial scarcity in the world market lakini sio tatizo la soko ya sukari hadi to expire. Big sugar producers ni Cuba and Brazil in the world na Russia can consume all sugar produced in Cuba approximately 7.5 million tons per yearMwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
ambao wangekuwa washauri wake amewa-handpick mwenyewe to go through the motions (aka formality).Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
NONSENSE!!!... UNA MZIGO MWINGI WA BIDHAA AMBAYO NI HABA SOKONI UNAIFADHI YA NN?? UMEFICHA NA ITAGAWIWA BURE. MUACHE KUTETEA UPUUZ AMBAO UPO LOGICALLYNa inaonekana sasa iv amedanganywe wafanyabiashar wameficha sukar, wakati si kweli, washaur wake wamegeuza neno kuhifadhi na kufanya lionekane kuficha, coz sio kosa kuhifadhi mzigo wowote kwenye Ghala kama ni mwing
Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
Mkuu labda siyo mfanyabiashara ndo mana Povu linakutoka sana, then usipende kufkir kila kitu ni rahisi, Ngoja nikupe mfano: duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan mengi, sasa tatizo langu ni kwa hao watu kudanganya kwamba sukar imefichwa ni uwongo mkuu,NONSENSE!!!... UNA MZIGO MWINGI WA BIDHAA AMBAYO NI HABA SOKONI UNAIFADHI YA NN?? UMEFICHA NA ITAGAWIWA BURE. MUACHE KUTETEA UPUUZ AMBAO UPO LOGICALLY
Mkuu labda siyo mfanyabiashara ndo mana Povu linakutoka sana, then usipende kufkir kila kitu ni rahisi, Ngoja nikupe mfano: duka la Jumla na kastore kadogo kakuwekea sukar lipo karkoo bt ghala lipo tabata ambako ndo ameweka matan mengi, sasa tatizo langu ni kwa hao watu kudanganya kwamba sukar imefichwa ni uwongo mkuu,
Ngoja waje....
Uko tayari kwa mashambulizi???