mnaomiliki magari kuweni makini.

limefuata joto jot la injini hilo, jamaa kala mishikaki ya burweee hadi mate yananijaa kwa uchu.......
 
Bora hata lipo huko kwenye injini, je ukilikuta kwenye siti yako!?
 
Duu masnura kweli,kama umegombana na jirani yako lazima ukamshike shati
 
sema wanao miliki magari maporini, sasa mjini jidudu kama hilo litatoka wapi kama sio mazingaumbwe.
Pande za Bunju, mbagala Charambe nk bado kuna mapori so inawahusu sana hii.
 
Nkitizama kipande cha lami kinachoonekana juu kushoto na jinsi engine ilivyosafi nashawishika kusema hii c Tanzagiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…