Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Mnaolalamika njaa mseme ukweli ni kuwa, hamkulima chakula na pia hamna pesa za kununua chakula. Maana kama huku mjini wengine tushajizoelea tunakula mikate. Sijawahi kuona hata siku moja mikate ya Azam na ya makampuni mengine imekosekana dukani. Tena siku hizi ni raha tu kuna hivi vi skonzi vinauzwa kimoja mia. Kwa mwenzangu na mie kama sina hela hata nikiwa na mia mbili mfukoni sifi njaa. Nachemsha chai na viskonzi vyangu viwili, siku inakwenda.