Mnaokaa na wanawake mnawezaje?

Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu

Pole sana Mkuu ,tuliambiwa tuishi na wake zetu kwa akili.
 
Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
NDIO MAANA KUNA MITUME HAWAKUWEZA OA KUTUNZA UTUME WAO
 
😂😂😂😂😂Umechoka nini Mkuu? Kutooo?

Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
 
Naunga mkono comment hii
 
Aisee mnaoishi na wanawake mnawezaje!,hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9,hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years,hana fujo zozote ila nahisi kuchoka tu
Ondoka hiyo miaka miwili, ukirudi utamkuta na watoto 3 au zaidi na atakuambia ni wako
 
Wewe ni under 16,uwe unahudhuria sherehe za mtoto wa Afrika kila ifikapo June 16.
Kuna mdau mmoja alisema eti hawa ni watoto wao ambao walipatikana ki bahati mbaya tu baada ya wao kusahau kuvaa kondomu enzi ujana wa huyo mdau.
 
Huna hobbies

Tafuta hobbies

Ni kaZi tena sio ndogo sema ukijifunza kupuuzia mambo utaweza

Halafu kuna kipindi utazoea kabisa.

Mimi mwenyewe siwezi ilikuwa tabu sana si unajua hawa watu kukukera ni sekunde tu ila baadae nijikuta nazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…