stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Mume hahitaji mke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.
Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa za macho na Ngono....THERE IS LIFE BEYOND ATRACTION AND SEX Ndio maana utashangaa mtu ameDate madem 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa dem wa kawaidaaaa mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa, halafu unauliza huyu kaka amekosa nini. Hajakosa kitu ila amevumbua dhahabu.
Mume anahitaji mke MSAIDIZI,MSHAURI,MBEMBELEZAJI,MTIA MOYO na MWENYE MAONO Sio m/mke anajua Club zote mpya zilizofunguliwa wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mumewe ku-Acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa Bi.Shosti hajawahi kuvaa kipedo toka azaliwe anavaa Charanga. Kama unaona Shepu mali kaombe kazi Twanga Pepeta.
Tutaendelea kuoa vituko kwasababu vina akili na vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi na ukacheze kwaito kwasababu HUOLEKI.
Najua wapo watakaojipa moyo kuolewa sio lazima ujue tayari Jiwe Gizani hilo. Utakaa kwenu uwajazie wazaz wako wajukuu wenye baba tofauti.