Kamwe Huwez kumpata aliekamilikaInataka moyo sana na uwe mwelewa kwelkwel
Je kukasirika inaruhusiwa? Na kumkalipia.. maana hapa nmemkaripia ameenda kulia ndan.. na hapa kanuna tuu.. sasa mim nna hasira kishenz.. sjui nimfanyaje.. na lakumfanya sina imebak kutoa kauli za kutishia tuuKamwe Huwez kumpata aliekamilika
Hili ndo muhimu, dada wa kazi.Umeoa mtt mboga saba mkuu,alishazoea dadaa wakazi mpk Pichu yake anamfuliaaa uko kwao,km vp mtafutie dadaa wa kazi,
Ndio yule mwene ma'tattoo?
Hamna mtu hapoYeye anaweza fanya mambo ma4 kwa wakat mmoja.. anafumua nywele huku anachat huku anapika huku anaangalia tv huku anafua
Kazi kweli kweli.Yeye anaweza fanya mambo ma4 kwa wakat mmoja.. anafumua nywele huku anachat huku anapika huku anaangalia tv huku anafua
Hamna kitu hapoNdo huyo huyo