Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Tanzania sijui tunakwenda wapi, kila sehemu ni shida. Mungu atusaidie kwakweliTukianza na Umeme , maji, dollar, mfumuko wa bei, tozo, ongezeko la kulipia container bandarini, sukari bei juu, petrol ndo usiseme...
Daah kikubwa uzima..
Huko ni gharama sana mkuu,katoe tu benk uende maduka ya kuuza na kununua fedha ununue labda
Nani Allah au Jehova/yawhehTanzania sijui tunakwenda wapi, kila sehemu ni shida. Mungu atusaidie kwakweli
Kama huwezi kujibu ni bora ukakaa kimya, sio kila uzi wa kufanya utani.waulize kina MJ motors na ndugu zake
Chill Boy.Kama huwezi kujibu ni bora ukakaa kimya, sio kila uzi wa kufanya utani.
Kwahiyo unajibu kwa niaba yao? Ina maana hao watu siwajui? Mpaka nikauliza humu ndani, jua huko hakufai.Chill Boy.
MJ Sasa si kazi yao kuagiza magari
U may ask ‘em wanakotoa wao dollar
Hapo utani huko wapi?
CRDB kuna mtu nimeongea naye kanambia tuonane asbh, wao mwsho ni $500.Jaribu CRDB hao NMB ni matapeli wakubwa, kama pesa ipo kwa Account haiwezi kuwa shida hivyo.
Hapana, Bank gani naweza fanikiwa?Umejaribu benki za kigeni?