Nashauri watu wa haki za binadamu pamoja na taasisi zisizo za kiserikali watalichukulia kwa uzito suala hili ikiwa ni pamoja na kuitaarifu jumuia ya kimataifa kuhusu unyama huu, nimesikitishwa sana tena sana. CDM ongezeeni pambano la kukomesha unyama huu.
Hii habari imenigusa sana. We need to do something. This issue must not be let pass without special attention. The public and the international communities must be made aware of such violation of human right. Where is democracy in Tanzania and east Africa?With great disappointment, I condemn this violation and argue all of us (especially media) to make public react against this insanity done by ccm.Hii ndo serikali ya ccm,...eti ukichagua upinzani haupati huduma?
kwa hili naomba chadema mkomae na serikali mpaka kieleweke,hata
kama ni kuwashawishi wananchi hawa waandamane ili shule ifunguliwe,...
Soma:Wabunge Chadema wageuka mbogo
WABUNGE wawili wa Chadema jana walikuwa mbogo baada ya kufanya ziara katika Kijiji cha Lusaka, Jimbo la Kwela, mkoani Rukwa na kubaini Shule ya Sekondari Lusaka imefungwa bila maelezo.Mbali na hilo wabunge hao waliwaeleza wananchi kwamba wamebaini mbolea ya ruzuku inayotolewa na serikali ni ufisadi mtupu kwa sababu wananchi wanatozwa fedha nyingi kununua mbolea ya ruzuku.
...."Wananchi wa Kijiji cha Lusaka walilalamika mbele ya wabunge hao kwamba Serikali imekuwa ikiwanyanyasa na kibaya zaidi imefunga Shule ya Sekondari ya Kijiji hicho baada ya wananchi wa eneo hilo kumchagua Diwani wa Chadema."
kwa nini ccm wanafanya ujinga kiasi hichi kwa nini tusiandamane saizi kikwette akitoka kwenye sherehe uganda akute wananchi wamechukua nchi yao kwa sababu ni ujinga kufunga shule eti kwa sababu diwani ni chadema inauma sana
Watu hawana pakusemea na watanzania wamejengewa uoga hivyo kunahitajika mtu wa kuwaonyesha pakuanzia kumbuka watu hawa hata vyombo vya habari kwao ni shida kuwafikia lakini watu hawa wakipata pakuanzia amini usiami huwa ni wabaya kuliko wa mjini....Lazima wananchi wale nao pia waamke na kudai haki ya watoto wao,...
sio kusubiri wabunge ambao hawa kuwachagua ndo wawatetee tu,haitoshi