Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
- Thread starter
- #21
Naomba rambi rambi yangu mapema 😂😂Ukifa tutakuzika mkuu, usihofu kabisa
Naomba rambi rambi yangu mapema 😂😂Ukifa tutakuzika mkuu, usihofu kabisa
We sema ukifa tuzike au tusafirishe😂African hellow
Mapenzi yameniendesha sana mpka kitambi sina tena nimekuwa kimbao mbao nilie kuwa nae kanichuna sana alinidanganya kuwa ana mimba yangu kumbe siyo kweli mwisho wa siku ananiambia mimba imetoka
Nikamuuliza imetoka puani au sikion mbona aikuji Akilini tukaaza kubishana wakati uho nishaliwa hela nyingi sana mimi kubishana siwezi ila na mdomo kama manara
Leo hii nimetokea penda dada wa watu najiona nazama sana tena naingia mzima mzima na ukapuku wangu uhu si nitakuja kufa jalalani kisa mapenzi beach boy mimi 🙄
Mh sureTafuta pesa,huwezi uwa na broken heart
Nipelekeni mbeya kwetyWe sema ukifa tuzike au tusafirishe😂
Jinga weweAkuekue kwanza,alizaliwa 2006 mnyakyu hatamuweza,katashinda kanalia kilasiku "nimekumbuka mama!".....akue kwanza
Atatutia hasara ya mazishi bureWw kufa tu.ndio dawa yake
Je nispo kufa?Ww kufa tu.ndio dawa yake
Kutoka dar mpaka mbeya tena natak mnipandishe ndege 😂😂Atatutia hasara ya mazishi bure
Bora uliwe mamba phaller wewe😂😂Kutoka dar mpaka mbeya tena natak mnipandishe ndege 😂😂
😂😂😂 af wewe uje ukule miba ya samakiBora uliwe mamba phaller wewe😂😂