Mnakwama wapi watanzania wenzangu?

Mnakwama wapi watanzania wenzangu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,881
Reaction score
60,912
1.mna umoja na mshikamano bila kujali makabila na dini,hakuna anayeweza kuja kukupiga kwa sababu tu mmetofautiana dini au kabila
2.ardhi kubwa mnayo tena nzuri ni wewe tu kuchagua sehemu unayotaka kukaa kutegemea na kipato chako
3.vivutio mnavyo,sehemu zenye maajabu,mbuga za wanyama mnavyo ukitaka kutembelea kujionea uumbaji na asili unaenda na hakuna anayekukataza
4.bahari mnayo,Kama unataka kula samaki unawapata na hakuna anayekukataza Kuwa mvuvi
5.Rais shupavu mnaye ambaye amejitoa kwa taifa mwenye misimamo
6.chama kizuri mnacho tena kina rangi nzuri tu na kina historia kubwa chama kikuu kilichopo Africa
7.jeshi imara mnalo tena Lina wanajeshi wengi usalama wa mipaka yenu ni 100%
8.maeneo ya kufanyia mazoezi mnayo viwanja mnavyo
9.wasanii wakali mnao wanaojua kuimba
10.vyakula vya asili vipo,matunda na mbogamboga na vinapatikana masokoni kwa bei nafuu
Sasa sijui mna taka nchi ya aina gani Mimi siwaelewi
 
We mnufaika wa wizi,Na upigaji si uchumi unakua mfukoni Sio sie wanyonge
 
Uongozi
 
Vipi wewe umewezaje kuwa na maisha mazuri tupe mwanga.
 
Back
Top Bottom