Mnakwama wapi Wakuu?

selina mrembo

Member
Joined
May 18, 2020
Posts
54
Reaction score
68
Yani tangu nianze kueleza matatizo yangu humu nimebahatika kumpata mkaka mmoja tu ambaye alikuwa kidini zaidi nilifurahishwa nae sana alinitia nguvu sana ya maisha ila wengi wao jamani wakiomba picha ukiwapa wanataka mahusiano tu!

Jamani mahusiano gani ya kweli ya mtandaoni tuache izo tabia saizi tutakuwa tuna fake picha kutokana na tabia zenu sio nzuri mtu anapitia magumu anataka kutulizwa kwa ushauri mbali mbali lakini baada ya kumtuliza ndo kwanza unazidi kumuongezea tatizo tubadilike.
 
Dada hapa pamejaa mavampaya wanajiita mabaharia usimwamini yeyote anayekuja PM,

TENA PICHA ISIHUSIKE KABISAAA
 
Ooh pole sana kwanini na wewe uliwakatalia mahusiano kuna watu wanaweza sana kumfariji mtu wakiwa nae kwenye mahusiano bila Shaka wangekufaa sana
 
Pole mdada' me naomba nije PM kishkaji tu tupige story'
 
Wataomba picha na kwenye huu Uzi pia. Mabaharia sio watu wazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…