Mnakumbuka tank la gesi lilipolipuka ubungo

Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni
Halikuwa tank la gas lilikuwa tank la kuhifazia mafuta ya Jet A1 yaliyokuwa yanaendeshea mitambo ya pale ubungo
 
Huu uzi ni bora nikae zangu kimya.

Maana , nasoma hapa mara mwingine, ilikuwa gesi ghafula mara oooh ooh , ilikuwa mafuta, mwingine oooh oooh ni mitambo ilitiririk ikawa kinachotiririka kinawaka moto,,, .

Mwingine tena eeeh eeeh ni , mafuta ya Jet A1 over suddenly mwingine anakuja heeee heeee eeeh ni kakijana ka TPA kaliokoa Dar isiteketee.

Hadi hapo sielewi Uzi unahitaji members wachangie nini.

Mkuu,
edwayne ,

Umewashika , wachangia wa Uzi wako kama Dr Shika alichowafanya sijui Yona au Majembe kwenye mnada.
 
Back
Top Bottom