Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,153
- 137,162
Daaah...enzi hizo ilikuwa ukiwa na BMX basi mwenyewe unatamba kweli. Mimi nilikuwa wa kwanza kuwa na BMX mtaani..pengine hata bongo nzima. Halafu ilikuwa haina breki za kawaida...breki zake ilikuwa kurudisha pedals nyuma....nilitesa sana enzi hizo....

utajuaje kama si mtoto wa RA?mmmmh! na wewe kwa fiksi hatukuwezi eti bongo nzima wewe ulikuwa wa kwanza na watoto wakihindi watasemaje...
ulikuwa mwaka gani?
mmmmh! na wewe kwa fiksi hatukuwezi eti bongo nzima wewe ulikuwa wa kwanza na watoto wakihindi watasemaje...
Phoenix
Yeah that one, ahsante kwa kunikumbusha. Zile kitu bush uko walikuwa wanazikata kodi usipokuwa na kasticker ka halmashauri ya mji ni soo.
Duh babu 1981 unaride bmx kumbe na wewe kidingi eh? Angalia usije kuitwa fisadi tu.
Phoenix
Aaaah hebu acha hizo bana...kidingi kivipi tena? Mimi ni 70s baby....labda wewe mwenzangu ni 80s baby...wait a minute...aren't 28 or so?
Daaah...enzi hizo ilikuwa ukiwa na BMX basi mwenyewe unatamba kweli. Mimi nilikuwa wa kwanza kuwa na BMX mtaani..pengine hata bongo nzima. Halafu ilikuwa haina breki za kawaida...breki zake ilikuwa kurudisha pedals nyuma....nilitesa sana enzi hizo....
Mjomba shangshen, lazima upate busha...
Hiyo 1981 sijazaliwa bado, dah mie nakumbuka Super Nes
Na ukiwa na Super Nes basi games kama Street Fighter,Killer Instinct na Mario zilikuwa ni must have
Bila kusahau kucheza chandimu ukitoka uko una vumbi mpaka kwenye kope, NN wewe ulikuwa mtoto wa geti nadhani chandimu hukucheza.
kitenesi kwenye uwanja wa barafu......