Mnakosa uhondo

Mnakosa uhondo

hahaha ndo mahali pekee watu wanapoweza kuzungumza lugha kama hizi hadharani tena usiombe upande ya mbagala au temeke utachoka kabisa

Hahahaaa,hapa niko kwenye daladala,konda kanidai nauli nikamwambia,''Subiri isimame nitakupa!
 
[h=5]WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA MATAMSHI HAYA KUTOKA KWA ABIRIA

1) Nitakupa.

2) Atakupa mbele.

3) Hujapewa mbele?

4) Utapewa nyuma.

5) Nitakupa nikikaa vizuri.

6) Ngoja isimame nikupe.

7) Subiri asimamishe nikupe.

8)Hivi nilivyokaa nitakupaje?

9) Utapewa tulia.

10) Nikupe mara ngapi Unapenda kupewa ee

11) Msimpe nimeshampa huku mbe[/h]

Huwa na miss kumbe pamoja na kuwa jf kwa muda mrefu daaah you have made my day
 
WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA MATAMSHI HAYA KUTOKA KWA ABIRIA

1) Nitakupa.

2) Atakupa mbele.

3) Hujapewa mbele?

4) Utapewa nyuma.

5) Nitakupa nikikaa vizuri.

6) Ngoja isimame nikupe.

7) Subiri asimamishe nikupe.

8)Hivi nilivyokaa nitakupaje?

9) Utapewa tulia.

10) Nikupe mara ngapi Unapenda kupewa ee

11) Msimpe nimeshampa huku mbe
Umenifurahisha sana shansarie. Sikukosea nilipokuchagua top five Miss chitchat! Ila naomba mods waipeleke hii Jokes column.
 
Last edited by a moderator:
Umenifurahisha sana shansarie. Sikukosea nilipokuchagua top five Miss chitchat! Ila naomba mods waipeleke hii Jokes column.

hukufanya kosa kabia na wk ijayo nipo tano bora ntakuita uje unipe kura yako tena
 
Au abiria abiria anamkomalia konda "kwani nimekuambia sikupi" tungo tata hiyo lol shansarie..
 
Last edited by a moderator:
Mlokole; konda weka nyimbo za Yesu
Konda; Yesu bado hajatoa albam.

Matozi; humu ndani joto
Konda; kapande friji

Abiria; kuna siti?
Konda; hawa walioko wamekalia madumu au?

Sistaduu: Konda ninashuka Maziwa (akimaanisha anashuka pale kituo kinaitwa Ubungo Maziwa)
Konda; Unashuka maziwa,kayanunulie sidiria!

Mama: sikai siti za mwisho
konda; hizo siti za mwisho ziko nje ya gari au..!
 
Nimecheka kwa nguvu kwenye bus mpaka watu wananishangaa
 
Nimecheka kwa nguvu kwenye bus mpaka watu wananishangaa

Let me guess sister kilichokuchekesha,,''Konda,Nashuka maziwa''
Hahahaahaa,ndo tumezoea hiyo mineno kwenye daladala!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom