Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,525
- 2,802
Mlokole; konda weka nyimbo za Yesu
Konda; Yesu bado hajatoa albam.
Matozi; humu ndani joto
Konda; kapande friji
Abiria; kuna siti?
Konda; hawa walioko wamekalia madumu au?
Sistaduu: Konda ninashuka Maziwa (akimaanisha anashuka pale kituo kinaitwa Ubungo Maziwa)
Konda; Unashuka maziwa,kayanunulie sidiria!
Mama: sikai siti za mwisho
konda; hizo siti za mwisho ziko nje ya gari au..!
Yaani kame fanana na id yako mkuu jioni yangu imekuwa njema