Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Wadau,
Mnakaribishwa kuja Maktaba Kuu ya Taifa iliyoko barabara ya Bibi Titi ili kujifunza mengi kupitia vitabu, majarida mbalimbali na magazeti ya tangu miaka ya 1920 mpaka leo hii. Utamaduni wa kutumia Maktaba hususani kwa wakazi wa Dar ni mdogo mno, lakini hamjachelewa.
Kuna kitengo cha watoto ambapo kuna michezo mbalimbali kwa ajili yao na pia vitabu vizuri vya hadithi.
Kwa wanafunzi, vitabu vya kiada na ziada vipo pia.
Uanachama ni kama ifuatavyo:
Watu wazima na wanafunzi wa vyuo ada yao kwa mwaka ni: 10,000/=
Wanafunzi wa sekondari ni: 7,000/= kwa mwaka
Wanafunzi wa msingi na chekechea ni: 5,000/= kwa mwaka
Temporary/kwa siku ni: 1,000/=
NB:
Kuna mafunzo ya kompyuta kwa wiki ambayo hutolewa bure kabisaaaa. Hii itawafaa sana kwa wale wana vikundi wanaotaka kujifunza kompyuta na wakimaliza mafunzo hupewa vyeti vya kuhitimu.
Karibuni sana.
MAKTABA KWA MAENDELEO YA JAMII

Attachments
-
IMG_20160901_151249.jpg285 KB · Views: 154
-
IMG_20160901_151300.jpg302.9 KB · Views: 145
-
IMG_20160901_151333.jpg321.8 KB · Views: 148
-
IMG_20160901_151349.jpg290.7 KB · Views: 141
-
IMG_20160901_151358.jpg275.9 KB · Views: 144
-
IMG_20160901_151405.jpg308.9 KB · Views: 135
-
IMG_20160901_151714.jpg209 KB · Views: 140
-
IMG_20160901_151722.jpg294.9 KB · Views: 141
-
IMG_20160901_151738.jpg393.5 KB · Views: 139
-
IMG_20160901_151746.jpg264.9 KB · Views: 138
-
IMG_20160901_151803.jpg284.2 KB · Views: 159
-
IMG_20160901_151815.jpg284.7 KB · Views: 134
-
IMG_20160901_151845.jpg252 KB · Views: 135
-
IMG_20160901_151903.jpg233.5 KB · Views: 133
-
IMG_20160901_151926.jpg298.4 KB · Views: 135
-
IMG_20160901_151934.jpg237.2 KB · Views: 137
-
IMG_20160901_152033.jpg279.9 KB · Views: 147
-
IMG_20160901_152048.jpg285.3 KB · Views: 129
-
IMG_20160901_152123.jpg321.3 KB · Views: 147