Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Hiyo ndiyo channelling katika majukumu...kitu ambacho Magufuli hana.
I know Magufuli inside out but nachelea kuandika baadhi ya vitu coz vinaweza kunifanya watu wake wa karibu wanijue.
Ndio maana ukajiita Gwamahala I,e wa akili kwa kinyakyusa ila wewe kiuhalisia ni mndengereko.....thats good chief...mwaga ugali wa Magufuli basi mkuu.
September mosi TCRA na wewe wala hujampoteza mtu. Kama unatumia simu na unataka kuwa anonymous ni-PM nikufundishe ujanja. ni FBI procedures ndugu na mpaka wakafike kwenye simu yako mweh!Katika vitu nilivyocheza kama pele ni hii ID ndugu...itawapoteza wengi sana.