swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,255
- 1,476
Kweli Lowassa ni kiongozi shupavu. Alipokuja juzi Mwanza na kuambiwa umeme ni shida, akatoa maelekezo kwa mbunge wa Nyamagana aende kwa meneja wa TANESCO aseme tatizo ni nini na kama meneja akishindwa kutatua basi Wenje ampigie simu yeye (Lowassa).
Baada ya siku moja ya agizo lile, umeme unawaka muda mrefu.
Baada ya siku moja ya agizo lile, umeme unawaka muda mrefu.