Mnajiona wazuri afu mnataka wakuwaowa

Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama
Pole kwa kulimwa kibuti mkuu, jaribu kutafuta type yako.
 
sio kukataliwa swala ni kwamba mnakubaliana afu anakuletea uzuri kwa kuwa anajitazama kwenye kioo na kujiona mzuri alaf analalamika hapati wa kumuoa wakati wanaume wa kweli anawapata na kuwachezea eti anataka handsome

kwa taaarifa yako siku hizi mwanaume haangaliwi sura
sura wont pay the bills
anaangaliwa focus katika maisha na mzogo anaopiga 6*6
 
Ulivyo andika xaxa nikajua tu mtoto bado unanuka maziwa ya mama kazana kusoma.
 
mtoa mada ebu tupe case study

Back
Top Bottom