Mnajiona wazuri afu mnataka wakuwaowa

Have u researched thoroughly? Sample space yako ikoje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama

hivi xaxa ndio nini hiki? ni kiswahili au kingereza. huu mtindo una kera sana.
hivi mnadhani kila mtu anajua hizo style zenu za kuandika?hili jukwaa linatembelewa na watu tofauti ni vyema kuandika kiswahili au kingereza fasaha. hata hivyo tafuta wasiojiona wazuri.
 
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama

Labda baba zao ni handsome kwa mama zao unajuaje?
Vijana wa xaxa matapeli, wanaplay games, ndio maana wanachezewa
 
afu rekebisha hizo swagger zako za kutumia x badala ya s huku ni jf bhana sio fb tunapost kikubwa...anyway usichukie ni mtazamo tu!
uhandsome wa mwanaume unasaidia nini kama hajui kumhandle mwanamke ipasavyo??
 
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama
daaah umeifanya siku yangu iwe nzuri leo,....nimemkumbuka mshua nikacheka sn.
 
mmh...naona una stress na strain moyoni na kichwani! pole...wakati wewe unahangaika kuwapata warembo vibabu vinatafuna kilaini kwa jeuri ya chapaa na vinaitwa 'baby'!
 
mapenzi c uandishi mbona kuna waco jua kuxoma na wameowa wote ndio nyie mnaojiona wazuri kumbe mbululaz
naona bado unaendelea kuandika ki-facebook. sio kwamba haujui kuandika neno kusoma, ni uandishi wa kipuuzi unaofanyika huko fb. vijana kama nyie hamuwez kuwa na character ya kuwa mume makini, ndo maana unatoswa. ( mnajiita wazee wa swaga, diamond and the like).
 
Akili timamu na mawazo thabiti.kweli humu mna wa2 wajanja wa ujinga wananikosoa mimi wakati hata mademu zao wanaandika kifupi kuliko mimi kama hamuelewi msingepost kwenye hii thread one love kwa wote walio nipa ushauri mzuri
 
Ninyi wadada mnaojiona ni warembo na mnavutia mnapopata wanaume wenye nia za kuwaowa mnawadampu na kuwachezea kama paka alieshiba xaxa anachezea paka eti kisa nyie ni warembo mnataka wanaume mahb tena unajiona warembo kwenye dressing table zenu za kichina vyumbani mwenu xaxa kwa namna hiyo labda muolewe na dressing table zenu unataka handsome jiulize baba yangu ni handsome mbona anaish vzur na mama
Hebu tuelezee jinsi ulivokuwa dumped labda tunaweza kukusaidia...
 
kwanza rekebisha kiswahili chako. Alafu pili.. hiyo mistari kama vipi unaweza kutungia wimbo!
 
Back
Top Bottom