Mnaikumbuka hii Video? Hivi ilikuaje LUKUVI Akawa Waziri? Huyu Mzee inaonekana Gizani ni MTU hatari na asofaa hata kuwa Mjumbe wa Nyumba Kumi!

Mnaikumbuka hii Video? Hivi ilikuaje LUKUVI Akawa Waziri? Huyu Mzee inaonekana Gizani ni MTU hatari na asofaa hata kuwa Mjumbe wa Nyumba Kumi!

Ila huyo mzee naye kazingua big time, ameshindwa kujua namna yakujieleza.
Ushawahi kua na tatizo lako linalohitaji tuonane na Waziri, alafu ghafla paaap unaona naye?
Utaona muda hautoshi, flow ya Idea itapotea .

Lukuvi Hana communication skills na hana Busara, alichokia anakifanya ni kuendelea kumtoa mchezon Huyo Mzee
 
March 03, 2021 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi wenye migogoro wakiwa na mafaili yao wakimgoja

View: https://youtu.be/PLB-XqPExaw?si=AdcohQCGURhzOvbl

Tatizo ni huyo mzee wako hana akili wala siyo Lukuvi. Mnakuwa hamna akili na ujuaji wa kishamba mnataka msikilizwe mkiongea pumba
 
Ushawahi kua na tatizo lako linalohitaji tuonane na Waziri, alafu ghafla paaap unaona naye?
Utaona muda hautoshi, flow ya Idea itapotea .

Lukuvi Hana communication skills na hana Busara, alichokia anakifanya ni kuendelea kumtoa mchezon Huyo Mzee
Tatizo ni huyo mzee wako hana akili wala siyo Lukuvi. Mnakuwa hamna akili na ujuaji wa kishamba mnataka msikilizwe mkiongea pumba. Hana communication skills. Ana ushamba mwingi
 
Mzee mlakamikaji alikuwa na majivuni mengi. Alianza kwa kujiita ni mtoto wa muasisi na akawa anaongea kwa kujiamini kuliko hata waziri anayeombwa msaada. Na ndiyo maana hata mwishoni mzee mlalamikaji ametamba kwamba usiponisaidia nitamuona rais.
 
Katika Mawaziri wa Ardhi angalau ni nani alifanya kazi yake vema ? Au nikuulize kwa njia nyingine katika Mawaziri wote wa Awamu hii ambao walitenguliwa na wengine kuingia ni nani angalau unaweza kusema alifanya vema katika Wizara yake hata theluthi ya huyu...

Bora huyu hata alionekana kuweza kuulizwa swali wengine hata kuwaona huwezi
 
Kwa mawaziri tu hakuna kama lukuvi wengine janjajanja tu yule jamaa ni mtenda haki anaweza akawa Rais mzuri sana ila ndio hivyo hana bahati nyota haina makali
 
Pole Sana mtoto wa mwasisi .lkn haya mambo ya watoto waasisi si tulikwisha yamaliza .now day ako unanijua Mimi NI Nani .ukizubaa Tu kitako cha bastola a k.a mguu WA kuku .ukienda mahakaman dhamana mil 8 .mahakam inachukua 3 miln muonewaji 5 milin imesha hiyooo Shaa Kama Ronaldo na suu yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom