Mnaikumbuka hii njemba?

Please ongeza na jinsi alivyokuwa kiboko wa mabeki 3.


Kwani wewe kuna beki tatu aliyewahi kupita kwenu ukamwacha,hawa wasichana wana siri na roho kubwa sana, tuwahurumie tu, wakati mwingine unaweza kukuta baba na mtoto wanachangia beki tatu,na kama huamini nitakupa kisa cha Kikombe mlinzi wa kimakonde na mwajiri wake.....
 




Nashukuru umeliona hilo,kieneo Dar ndio mkoa mdogo kuliko yote Tanzania bara,sasa kuna sababu gani ya kuwa na ma RPC wanne,ina maana huyo mmoja ameshindwa kazi,tazama tu police system ya New York,pamoja na ukubwa wake wote na uhalifu nadhani utakuwa na cha kunieleza...
 
Haya mkuu.
 
It makes no difference hata huyu tuliye naye japo alisifiwe kuwa msomi....Police force is very horrible chini yake


Na true,ndio maana hata jeshi letu la wananchi niliwahi kulipenda kipindi Mwita Marwa akiwa Jenerali na mpaka nikashawishika kutaka kujiunga na Jeshi,Lakini jiulize hawa wasomi wetu wanafanya nini na Mwita Marwa alikuwa na Elimu gani..??
 
Haya mkuu.


Sio haya tu kila binadamu ana ulemavu wake,hata wewe una wako, ila hujawa public figure bado ndio maana hatuujui,ila kama unataka tuujue naomba utangaze nia tu ya kugombea Ubunge sehemu yoyote ile...
 

Tatizo wanachoangalia ni idadi za watu wanasahau hao watu wametawanyikaje maana kwa Dar watu ni wengi kwenye kaeneo kadogo ni rahisi kuwafikia tofauti na watu laki mbili au tatu wa Makete ambao ni wachache lakini wametawanyika, chukulia mkoa kama wa Iringa kabla ya kuugawa kutoka Iringa mjini mpaka Njombe ni kama 230 km na Njombe to Makete kama 110km mtu akitoka Iringa mjini mpaka Makete ni kama 340km kama unatoka Dar kwenda Gairo hivi
 
huyu ndo aliyezaa na house girl mzee noma huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…