Umezisoma Kanuni za Bunge? Msimamizi wa nidhamu ni Nani?Najiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?
Anafanya nini na kwa nini yupo kama hayupo?
Au anasubiri msiba ajitokeze kulilia mic?
Hauwezekani kila uchao wabunge anaowasimamia tena walewale wanaingia kwenye vurugu na kukosea heshima kiti cha spika lakini hawachukuliwi hatua.
Ushauri wangu kwa Bunge ...watunge kanuni ya kuwawajibisha wasimamizi wa nidhamu wa wabunge sambamba na wabunge walioshindikana kwa utovu wa nidhamu.
Kanuni hii itawabana wabunge wakorofi na wanaowatuma.
Haiwezekani mtu atoke jimboni mwake kwenda bungeni kusaka kiki badala ya kuhoji na kupendekeza hoja za maendeleo ya jimbo lake.
Uwakilishi wa wananchi umegeuka kuwa ubinafsi na kiburi kwa baadhi ya wabunge hasa wa upinzani.
CC:Mkuchika
Kwani maendeleo yanaletwa na bunge?Najiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?
Anafanya nini na kwa nini yupo kama hayupo?
Au anasubiri msiba ajitokeze kulilia mic?
Hauwezekani kila uchao wabunge anaowasimamia tena walewale wanaingia kwenye vurugu na kukosea heshima kiti cha spika lakini hawachukuliwi hatua.
Ushauri wangu kwa Bunge ...watunge kanuni ya kuwawajibisha wasimamizi wa nidhamu wa wabunge sambamba na wabunge walioshindikana kwa utovu wa nidhamu.
Kanuni hii itawabana wabunge wakorofi na wanaowatuma.
Haiwezekani mtu atoke jimboni mwake kwenda bungeni kusaka kiki badala ya kuhoji na kupendekeza hoja za maendeleo ya jimbo lake.
Uwakilishi wa wananchi umegeuka kuwa ubinafsi na kiburi kwa baadhi ya wabunge hasa wa upinzani.
CC:Mkuchika
Usifurahie msiba wamwenzio hata ww utakufa tu siasa inakufanya ukashifu msiba wawenzio kweli je huu ni uzalendo kweli ccm mbona mnaliharibu taifaNajiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?
Anafanya nini na kwa nini yupo kama hayupo?
Au anasubiri msiba ajitokeze kulilia mic?
Hauwezekani kila uchao wabunge anaowasimamia tena walewale wanaingia kwenye vurugu na kukosea heshima kiti cha spika lakini hawachukuliwi hatua.
Ushauri wangu kwa Bunge ...watunge kanuni ya kuwawajibisha wasimamizi wa nidhamu wa wabunge sambamba na wabunge walioshindikana kwa utovu wa nidhamu.
Kanuni hii itawabana wabunge wakorofi na wanaowatuma.
Haiwezekani mtu atoke jimboni mwake kwenda bungeni kusaka kiki badala ya kuhoji na kupendekeza hoja za maendeleo ya jimbo lake.
Uwakilishi wa wananchi umegeuka kuwa ubinafsi na kiburi kwa baadhi ya wabunge hasa wa upinzani.
CC:Mkuchika
Najiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?

Kweli we we jinga letu! Wewe ni kipofu na kiziwi? Ni kitu gani kinachoendelea mjengoni cha ukurupukaji na uonevu usichokiona na kukisikia?
Labda kama mmejipanga kutokurudi 2020! Na kimuonekano ni sawa hamtampona kwa haya mnayoyafanya kuufinya ukweli. Mmeshikwa vibaya na kakikosi ka watu wachache wanaowafunua nguo bila kujali Nguni za USO mnazowachapa ila kwenu mmebaki uchi!
msome huyu mwanachadema mwenzako aliyepuuzwaKweli we we jinga letu! Wewe ni kipofu na kiziwi? Ni kitu gani kinachoendelea mjengoni cha ukurupukaji na uonevu usichokiona na kukisikia?

Kwa hiyo lusinde akitukana na wewe unatukana?Kesi ya nyani amepelekewa ngedere,hakimu Sokwe na Nyani mwenyewe unategemea kuwepo na HUKUMU yenye haki.Wale akina Lusinde wanaowatukana wapinzani kila siku mmeshawahi kuwapa adhabu hata ya kukaa nje dakika??
Laana ya ubaguzi,chuki na visasi ipo juu yenu Chama Cha Mafisi
Kwa hiyo lusinde akitukana na wewe unatukana?
ni lini lusinde alibishana na kumkebehi au kumtukana spika?
Usichanganye hoja mkuu...zipo threads zinazozungumzia mikataba mibovu.Kuna mahali Mnyika alimtukana Lusinde??Au Mnyika alikuwa anataka atendewe haki??Usidhani watanzania wote wapuuzi kama anavyofikiria jamaa yenu Ndugai!Hata mwanangu mdogo ameona upuuzi na upumbavu alioufanya SPIKA.
Msifurahie sababu ati aliyofanyiwa amekomolewa Mpinzani,la hasha hapo ndipo Bajeti na miswada ya kipumbavu inayoua Taifa inapopita bila kupingwa.
Miswada mibovu ya Madini na Gas ilipitishw ahivyo hivyo leo mnapoambiwa ukweli mnaaza kama kawaida ili bajeti ya Mwizi aliyehakikisha Taifa linapoteza inataka kupitishwa basi mnaanza kuruka ruka kama bisi kwenye moto.
Tuambieni Naibu Waziri wa Nishati na Madini mpaka sasa mmeshamuwajibisha?SI ndiyo huyu aliyehakikisha mikataba na miswada mibovu ya sheria ianaandikwa na kuzawadiwa udirector na hao hao wanaotupiga aka wawekezaji??
Hivi hamuwezi hata siku moja mkafikiria positively kwanini Kalemani alipewa cheo na hao wazungu??Acheni unafiki