Usichanganye hoja mkuu...zipo threads zinazozungumzia mikataba mibovu.
Nani aliyekwambia ukitukana ndio hoja yako inasikilizwa?Nani aliyekwambia usipomheshimu spika ndio hoja yako inasikilizwa?
Kwa nini msijifunze kulobby?
Wakati lowassa analazimishwa kujiuzulu ulisikia vurugu za kupigana au kutukanwa wa spika?
Yaani over-reaction ya Mnyika kuhusu kuitwa hana akili inataka kuniaminisha zile tetesi kuwa ni mgonjwa wa akili...kwa hiyo atakuwa ni paranoid sana kwa yote yanayosemwa au kutendwa dhidi yake.
Turudi kwa kina Mdee na Halima...hawa walioomba na kuombewa msamaha kama wiki tatu hivi zilizopita ni kwa nini kila siku wanaingia kwenye masakata ya purukushani ?Tena zile zinazoweza kuwakatia shanga?
Kwa nini hawakemewi na Chama?
Tofauti yako na mimi ni kwamba wewe unaongelea tukio la juzi na kwa kadri ulivyomezeshwa...mimi naongelea trend ya matukio ya uvunjifu wa Adamu ...toka bunge ka Samwel Sitta ...Makinda...Ndugai na Tulia na hata bunge la katiba.fuatilia uvunjifu wa heshima kwa kiti...Tatizo unakurupuka kutoa mabandiko halafu ujue sababu ya vurugu ya Ijumaa?Kama hujui sababu basi hustahili kufikiria issue za Kalemani hapo haziingii.
Sababu kubwa ilikuwa Bajeti ya Nishati na MAdini ipite ndiyo matusi ya akina Lusinde na Juliana yalipofanya vurugu kutokea.
Usiwe uansifia kila kitu kwenye uovu kemea.
Nimekuuliza KAlemani mmeshamfanya nini??Mko busy na wapinzani wanaoikosoa serikali wezi wa raslimali zetu mnawapa vyeo
Najiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?
Anafanya nini na kwanini yupo kama hayupo?
Au anasubiri msiba ajitokeze kulilia mic?
Hauwezekani kila uchao wabunge anaowasimamia tena walewale wanaingia kwenye vurugu na kukosea heshima kiti cha spika lakini hawachukuliwi hatua.
Ushauri wangu kwa Bunge watunge kanuni ya kuwawajibisha wasimamizi wa nidhamu wa wabunge sambamba na wabunge walioshindikana kwa utovu wa nidhamu.Kanuni hii ipeleke adhabu kwa mbunge na chama au kambi husika.
Kanuni hii itawabana wabunge wakorofi na wanaowatuma.
Haiwezekani mtu atoke jimboni mwake kwenda bungeni kusaka kiki badala ya kuhoji na kupendekeza hoja za maendeleo ya jimbo lake.
Uwakilishi wa wananchi umegeuka kuwa ubinafsi na kiburi kwa baadhi ya wabunge hasa wa upinzani.
Nimekuwa inspired na Mwanachadema aliyewahi kuandika juu ya mnadhimu wa kambi ya upinzani akapuuzwa.....
Mnadhimu wa Kambi ya upinzani wakumbushe wabunge wako kuhusu nidhamu bungeni
CC:Mkuchika
Tofauti yako na mimi ni kwamba wewe unaongelea tukio la juzi na kwa kadri ulivyomezeshwa...mimi naongelea trend ya matukio ya uvunjifu wa Adamu ...toka bunge ka Samwel Sitta ...Makinda...Ndugai na Tulia na hata bunge la katiba.fuatilia uvunjifu wa heshima kwa kiti...
Dont tell me hawa maspika wote wanawaonea wao tu na sio wengine.
"Panua mawazo tutamani kukusikiliza"
Kwa "scenario" ya Ijumaa ilivyokuwa, ukilinganisha na hoja iliyokuwa mezani, ni fedheha kubwa kwa mtu mwenye hata "minimum intelligence" kushabikia "behaviour" ya Spika Ndungai iliyopelekea kutokea kwa yaliyotokea siku yenyewe na yaliyokuja kutokea jana!
Huyo mnadhimu ndio anaongoza kwa matusiNajiuliza hivi mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani yupo wapi?